Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

Wewe mjinga nini! unaleta uchawi kwenye koo ya watu matajiri? nani alikwambia wanafanya mambo hayo? Wewe ndio yule jamaa pastor Mboro? mbaaf


Wapi nimetaja uchawi?

Mimi nimetaja mila na siyo uchawi.

Uchawi wanashadadia watu masikini vyasaka.

Uchawi hauna tija!

Mimi ni Mboro ndiyo unataka nini?
 
Kwa taarifa zilizopo ni kuwa k lyin kaajiri vijana kadhaa wa kumsaidia kujibu tuhumu zinazomkabili huku mitandaoni.
Wewe huu mmoja wao
 


Ukweli utasimama.

Vyasaka mnataka kukinasua kwa kuleta ukabila.

Hatukubali Wachagga kutukanwa.

Kwanza siwezi kukubali.

Wewe toa povu tu maana umasikini wa kipato unakusumbua.

Mnashindwa hata kuweka genge mtaani ni mpaka Mangi awwawekee.

Ni kipi mnacho cha kujivunia vyasaka?
 
Unaingiza uchagga kwenye pesa za mtu baki? Anayo familia yake anao ndugu zake hao ndio watashughulika na mambo yake marehemu. Wewe pambania kombe lako nawewe uje kua stori ya town ukifa acha kua kiherehere kwenye familia za watu utakuja kutolewa msukule watu waendeshe ndinga kali mjini.
Wapi nimetaja uchawi?

Mimi nimetaja mila na siyo uchawi.

Uchawi wanashadadia watu masikini vyasaka.

Uchawi hauna tija!

Mimi ni Mboro ndiyo unataka nini?
 
Kwa hiyo unatakaje labda???
Mtukane mtuseme hovyo halafu tunyamaze?
Lazima niwajibu.
Ni wajibu wangu kuwajibu vishoia kama ninyi.
 
Hahahhaha kwahiyo Tz nzima magenge yote ya mangi? kijana mimi kama kaka yako nakushauri acha kuingilia mambo ya familia za watu utakuja kujuta siku moja mzee, pambana huko fuga mbuzi, fuga ngurue achana na mambo ya tajiri Mengi hakujui kabisa wacha kujichomeka kwa kivuli ya kabila.
 
Maneno kama hayo yanayosambaa kama huna moyo wa chuma yanaumiza sana, inatakiwa uwe fedhuli wa roho mbaya kuweza kuyahimili, sijui Dada Jacky yupo kwenye hali gani kwa sasa, Mungu amzidishie kuwatia moyo wafiwa, time will tell
Inahuzunisha afu mtu haya mambo yasikie tu kwa mwezio yasikukute
 


Sijakuambia ninataka pesa za marehemu.

Ninachokijibu hapa ni hoja zenu za kulitusi kabila la Kichagga.

Pesa hata Mimi ninazo, tofauti ni kwamba hazigikii za marehemu.

Kwa hiyo, ukiniuliza pesa za Mengi Mimi nitakuambia nenda nyumban kwake kuna majibu huko.

Ila kuhusu jamii yetu Tukufu ya Kichagga, Mimi nina majibu zaidi ya milioni.

Mimi ni Mchagga original, na ukilisema Kabila la Kichagga vibaya ni lazima nikupe majibu sahihi.

Pesa ninatafuta, kaa na ufukara wako maana kwa maneno yako uanaonekana una dhiki sana.
 
Umesemwa wewe? wewe ni dume toleo la ngapi? eti ooh kimila sijui jamii, hiyo kichwa imejaa makande nn yani kifo cha asiye kujua kinakuuma kuliko ndugu kwa sababu alikua na pesa? umelogwa wewe mbaaf
Kwa hiyo unatakaje labda???
Mtukane mtuseme hovyo halafu tunyamaze?
Lazima niwajibu.
Ni wajibu wangu kuwajibu vishoia kama ninyi.
 
Inahuzunisha afu mtu haya mambo yasikie tu kwa mwezio yasikukute

Tatizo watanzania wengi ni wa binafsi wa kupenda kila mtu apate shida fulani ndio watu nao wapate ahueni ya kusahau shida zao, mambo kama haya yanahuzunisha sana, ngoja tusubiri kama aliyosema Sirro yatatimia, kwa sasa tuwaze kupumzisha mwili wa Mzee wetu kwa amani
 
Umesemwa wewe? wewe ni dume toleo la ngapi? eti ooh kimila sijui jamii, hiyo kichwa imejaa makande nn yani kifo cha asiye kujua kinakuuma kuliko ndugu kwa sababu alikua na pesa? umelogwa wewe mbaaf


Yaani wewe kwa ufukara wako na wivu wako unafikiri kila mtu ana dhiki kama za kwako?

Embu lete hoja nyingine, kama huna kalambe lolo tu.

Hilo la pesa kama kuna shida nenda kawaulize wahusika.
 
Sikatai wala sikubaliani na maswala yahusuyo kifo cha mzee Mengi mpaka pale polisi watakapo toa ripot yao. Yote yanawezekana kwan mtu ndo hupanga au kutenda kitu pia mtu ni rahisi sana kuongea anacho kifikiria pasipo kuwa na uhakika wa taarifa aitowayo.
Sizan kama Mengi hatakua na dactar binafsi ataongelea afya ya Mzee kabla ya mauti, uchunguzi wa mwili, ripot ya hospital alimo fia na mahojiano ya watu wengine wa karibu ndo yatakayo toa umwel tuwe wapole tukiamin kaz ya mungu haina makosa had ripot itakapo toka.
Apumzike kwa aman mzee wetu.
 
Wapi nimesema vibaya mtoto? tafuta pesa zako huyo mzee Mengi kafanya yake muda wake umekwisha kaacha ukwasi wa kutosha kwa familia yake sasa wewe ingiza ukabila kwa watu wasio kuhusu utaliwa kiboga
 
Umaskini na wivu ni sumu mbaya sana tuliyonayo watanzania,,,

wachaga kutokana na tabia yao mbaya ya kuua waume zao wanahisi na wanawake wa jamii nyinginezo tuko hivyo

Mungu amtie nguvu katika kipindi hiki kigumu
ni kweli Mungu amsimamie anapitia kipind kigumu sana
yaani mtu umefiwa na kipenz chako kisha mpuuz mmoja anataka kuaminisha watu una mkono katika hiko kifo
inaumiza sana
 
Kyasaka wanaumwa baada ya kusikia kyasaka mwenzako kawekwa mtu kati na jamii inataka ukweli uwekwe wazi.
Acheni kuweweseka mende ninyi
 
Kuna mambo madogo madogo tu huku uraiani au sehemu za kazi ukisikia yanaongelewa kuhusu wewe na ikiwa ni uongo huwa yanaumiza sana, sasa kwa makubwa kama hayo ya Jacky je, sema Mungu ametupa binadamu usahaulifu hata hao wanaosambaza nao watasahau
ni kweli kabisa Mungu asingetupa usahaulifu dunian ingekuwa uwanja wa fujo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…