Pole kwa mfiwa

Aurora

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2014
Posts
7,308
Reaction score
5,272
Za week end?

Huwa napata wakati mgumu pale napotakiwa kumpa pole mfiwa yani huwa naishiwa maneno ya kuongea,sana sana mtamwambia pole na Mungu ampe faraja,ni kawaida?kuna ambao wako kama mimi?

Jumatatu njema
 
Huwa napata wakati mgumu pale napotakiwa kumpa pole mfiwa yani huwa naishiwa maneno ya kuongea,sana sana mtamwambia pole na Mungu ampe faraja,ni kawaida?

Ni kawaida...salamu za rambirambi/msiba hupaswa kuwa fupi tu, ila maneno ya faraja ndio hupaswa kuwa wengi
 
Ni kawaida...salamu za rambirambi/msiba hupaswa kuwa fupi tu, ila maneno ya faraja ndio hupaswa kuwa wengi

sasa hayo ya faraja ndio hunishinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…