Igoma ipi wewe jamaa? Hivi unadhani hatuna ndg huko au unatuonaje?Huyu mmliki amepata hasara kubwa sana sheli zake nyingi zimeharibiwa vibaya kwa moto, watu wamepora mitungi ya gesi yotee yaani kweupe.
Lakini pia nitoe pole kwa watz waliouawa kwenye maandamano, pia natoa pongezi kwa JW walikuwa maeneo ya igoma jijini mwanza hakuna raia aliepigwa risasi .
Waliopelekwa hospital ya sekoture wao wasio maiti?Wanajeshi mwanza wame fanya kazi sanaa ,ila wa dar walikua wame zubaa kiasi fulani japo wame punguza damage zaid
Polisi walikuwa wanazuiwa kupiga mabomu na watu walikuwa around shazi tu lbd huko dsm wanajeshi wa kizaramoni wamezinguaWanajeshi mwanza wame fanya kazi sanaa ,ila wa dar walikua wame zubaa kiasi fulani japo wame punguza damage zaid
Sasa unampa pole ya nini?Wanasema ni kigogo yupo serikalini, wengine wanasema ni mmiliki ni mzee wa msoga
Kuna ushahidi upi kwamba sio fisadi?watu wanasema ufisadi walikuwepo au wanaushaidi gani??