Pole mashabiki WA Mam U na Chelsea kwa matokeo mliyopata leo

Pole mashabiki WA Mam U na Chelsea kwa matokeo mliyopata leo

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Niko Morogoro

Nilichokiona Leo n BALAA tupu

Polen sana mashabiki WA man u na Chelsea

Kiujumla sisi Man City tumehuzunishwa sana na yanayoendelea ligi kuu ya EPL

Nahisi tueleke kwenye maombii ya Mchungaji wa Dube tukaponye timu zetu
 
Mkuu unapata wapi ujasiri wa kuiunganisha Chelsea na hao wapambania ubingwa Man Utd na Man City? Itie Chelsea kwa hao madubwana otherwise labda ushachana mkeka wewe
 
Yaan we jamaa unamuweka Chelsea kundi moja na Man U na City. Kua serious.
 
Niko Morogoro

Nilichokiona Leo n BALAA tupu

Polen sana mashabiki WA man u na Chelsea

Kiujumla sisi Man City tumehuzunishwa sana na yanayoendelea ligi kuu ya EPL

Nahisi tueleke kwenye maombii ya Mchungaji wa Dube tukaponye timu zetu
Chelsea imepata sare ya bila bila! Tena ugenini dhidi ya timu ngumu kama Everton! Hivyo inastahili pongezi, badala ya pole.

Maniyuu ya Magwaya Mashinji ndiyo inastahili pole.
 
Man u na Chelsea ni vitu viwil tofaut muind kashafanya Yake unanza fananisha why man na Chelsea why
 
Back
Top Bottom