Pole Saana na Msiba Roulette

AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
16,189
Reaction score
18,102
Wana JF

Russian Roulette is one of the Mods ambae yupo saana nasi hapa jamvini katika mijadala mbali mbali as much as anatu-moderate na hata kumoderate threads. Hio imefanya awe na members wengi kumkubali na kumpenda tokana na her tolerance and Charm.

I am Sad to say kua Kafiwa na niece yake Mpendwa wa eight (8) months old baada ya kuumwa kwa mda mrefu akiugua Congenital disease (na alishawahi rusha Thread hapa siku za nyuma kuhusiana na ugonjwa huo
Link
); Ni msiba mkubwa saana kwa wazazi wa the little angel na Familia nzima. Roulette so loved this kid na alichangia saana kutaka jua jinsi gani wanaweza muokoa. Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema ana mipango mingi na mara nying tofauti na vile wanadamu tunataka.... The little angel has gone to her maker... May she Rest in peace.

Russian Roulette... Pole saana Love kwa msiba.... Allah akupe Imani na Amani in this whole time of Sorrow. I have written this to fellow JF members and to you with Abundant Love Dearest..... Tuko nawe kiroho na fikra katika this whole time of sorrow. Stay Strong dearest....

"Innah lillah wah innah lillah Rajjun"

Pamoja Saana
AshaDii.




 
Pole kwa msiba RR. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya malaika mahali pema peponi,Amen.
 
Thanks Adii kwa taarifa,
nichukue nafasi hii kutoa pole sana kwa RR (GG)!
Naamini tupo pamoja sana kupitia majukwaa yetu.
 
Asante sana RR kwa kutuletea hii taarifa.
Tunamwombea marehemu (Malaika wa Mungu) ampe malazi mema peponi - Amini!
Na kwa wafiwa wote, tunawapa pole na kuwaombea moyo wa subira katika kipindi hiki kizito.
 
R.I.P little Angel.....na pole kwa wazaz wa mtoto i know how it feels kuondokewa na kichanga
 
Dahhhh
Poleni sana wafiwa..
Mwenyeenzi Mungu aipokeee roho ya
Huyu malaika mahali pema peponi... ... ... ...
 
We thanks for the sad news!

BUT ...

Death is the last chapter in time, but the first chapter in eternity.

R I P !!!!
 
When you cry, I cry along wit you pal.
Mungu akufariji,
Pole sana ndugu yangu
 
Pole sana RR, nakuombea nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki cha msiba.

Roho ya kichanga ilale mahali pema peponi
 
pole sana RR. mm sitasema ni mipango ya Mungu bali hiyo ni kazi ya shetani
Mungu anatupenda daima siku zote na katuumba tumtumikie,haleti magonjwa wala shida
kwa vile shetani hawezi kuumba yeye kama mtawala wa dunia huua tena huwalenga wale tunaowapenda zaidi.
Pole sana RR. Mungu atawapeni malaika wengine wazuri kama alivofanya kwa Thobia
Amina.
 
Pole sana Russian, Mungu akupe nguvu, hasa kipindi hiki kigumu....

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi...Amen....
 
Inna Lillah Waina Illahi Rajoon

"Sisi ni wa Allaah nasi Kwake tutarejea, Ee Allaah Walipe wafiwa kwa msiba huu na uwape badili yake bora kuliko huo"

Pole
RussianRoulette
Wape pole na wazazi wa mtoto
 
Ahsante sana ADii (ingawa umenistua sana...heading haijakaa vizuri ndugu yangu),

Pole sana RR....na pole kwa wafiwa wote,

RIP kwa mpendwa wenu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…