Pole Saana na Msiba Roulette

Pole sana Russian Roulette na familia nzima. Mungu Awape faraja na Amlaze mpendwa mtoto wetu mahali pema peponi!
 
sisi sote waja,mwanetu katangulia mbele ya haki,nasi twafata,eh Mola ipokee Roho ya Marehemu,gone too soon,RR wape pole wafiwa wote wambie familia ya marehemu kuwa wana JF tuko pamoja nao katika dua.
Amin.
 
Poleni wafiwa kwa msiba. Bwana alitoa, na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe milele.
 
Dah, may she rest in peace. Asha Dii nilifikiri vingine kwa hiyo heading, edit tafadhali inachanganya.
 
so sad, pole sana RR mungu ametoa na mungu ametwaa jina lake lihimidiwe
 
R.I.P angel.

Nakupa pole RR kwa yaliyowakuta. Mungu awajalie ujasiri wa kukabiliana na maisha mapya.
 
Pole sana dearest! Usivunjike moyo mpenzi, ni kazi yake Rabana! May our little Angel REST IN PEACE. Amen
 
Poleni sana RR tuko pamoja,MWENYENZI MUNGU AWAPE FARAJA.
 
Pole sana RR mungu azidi kukupa nguvu na kukufariji katika kipindi hiki kigumu.
 
RR,je suis triste pour vous.Mais on peut rien C'est Dieu seul qui a decidé.Dans ce moment je prie le bon Dieu qu'il vous console.QUE SON AME RESTE EN PAIX,AMEN
 
Pole sana russian. Mungu awafariji wafiwa wote.
Ahsante anti kwa taarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…