Nimekupata sawia...Halafu you guys have soo much in common, i love you all for real!
You make this forum very exciting, and trust me that i aint trying to impress ya'll fo nuttin,its just the fact some of you guys are amazing and makes me proud for becoming a member here.
Thank you ver much,niko na laptop bafuni i gotta go to school yani niko na mswaki hapa lakini i am getting caught up in conversations Lol!
Kuingia humu ni rahisi,kuoka mhn!
You're welcome in most possible ways!On behalf of Roulette too..... THANK YOU... And we are INDEED Humbled.
Wana JF
Russian Roulette is one of the Mods ambae yupo saana nasi hapa jamvini katika mijadala mbali mbali as much as anatu-moderate na hata kumoderate threads. Hio imefanya awe na members wengi kumkubali na kumpenda tokana na her tolerance and Charm.
I am Sad to say kua Kafiwa na niece yake Mpendwa wa eight (8) months old baada ya kuumwa kwa mda mrefu akiugua Congenital disease (na alishawahi rusha Thread hapa siku za nyuma kuhusiana na ugonjwa huoLink); Ni msiba mkubwa saana kwa wazazi wa the little angel na Familia nzima. Roulette so loved this kid na alichangia saana kutaka jua jinsi gani wanaweza muokoa. Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema ana mipango mingi na mara nying tofauti na vile wanadamu tunataka.... The little angel has gone to her maker... May she Rest in peace.
Russian Roulette... Pole saana Love kwa msiba.... Allah akupe Imani na Amani in this whole time of Sorrow. I have written this to fellow JF members and to you with Abundant Love Dearest..... Tuko nawe kiroho na fikra katika this whole time of sorrow. Stay Strong dearest....
"Innah lillah wah innah lillah Rajjun"
Pamoja Saana
AshaDii.
Dah! pole sana Russian aisee
Poleni sana! Kazi ya Mungu haina makosa.Asanteni sana rafiki zangu kwa kunipa pole, tumesha poa.
Kwa kweli message zenu zimesaidia sana, kuliko mnavo fikiria, hasa nilipo zifikisha kwa wazazi wa marhem... As a matter of fact alikua anaitwa Faraja...
Siku ya kumzika mama yake alionekana kua na hekima kuliko watu wote tuliokusanyika maana alitoa speech ya nguvu sana:
alisema kua maisha mafupi ya mtoto huyu ni ujumbe toka kwa Mwenyezi mungu. Ujumbe wa upendo, umoja, humity, solidarity, compassion, uchamungu na vingine. Alisema hivo sababu kila alie mjua mtoto huyu aliona tabia hizo zikizidi mara dufu. Leo ameondoka akiacha familia yake VERY united, like never before, na deeply believing in God.
Tunaamini Mungu hakutaka ateseke, na pia hakutuumba wanaadamu ili tuteseke na ndio maana aliona ni vema malaika wake akapumzike mateso haya ya duniani, as she waits for all of us to join her.
I am strong and recollected, nashukuru kila alie nikumbuka katika kipindi hiki, kwa post, PM, SMS na calls.
I am back now...
Russian Roulette.
Welcome back miss Roulette,i missed you...!Asanteni sana rafiki zangu kwa kunipa pole, tumesha poa.