Pole sana Agnes Masogange kwa ajali

Kama sehem zile nyingine ziko salama hakuna shida
 
Eti maeneo mengine ya mwili yuko salama [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hivyo vitanda vya wagonjwa wao wanafanyia shoo, shauri zao.
 
Hayo maeneo ya mikono na miguu huumia sana watu wanaofumaniwa..ingekuwa anapnda bodaboda tungesrma kaanguka nayo...
 
Poleee dada

Ila kama kitumbua na,chura
Vmepona nivizur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…