Pole sana TID "Mnyama"

Wewe hupendi " banda la Uani " Mkuu? Basi unakosa mengi na vingi " vinono " nakusihi anza " kujikita " huko utanikubali!
...lahaulaaa!..,unanisihi kabisa nianze kujikita huko NITAKUKUBALI!...wataka nipa banda lako kwa majaribio?
...acha maskhara popoma,mswalie mtume!
 
chululuu alizozikalia Wema ni nyingi sana hivyo ni ngumu kuikumbuka ya T.i.D a.k.a mzee kigogo
 
Reactions: ovi
Wewe hupendi " banda la Uani " Mkuu? Basi unakosa mengi na vingi " vinono " nakusihi anza " kujikita " huko utanikubali!

With due respect, kuchepuka kwenyewe sipendi itakuja kua hayo mambo ya banda mkuu?
Usiwapotoshe wadogo zako, macho yatapatwa tens ushindwe kuandika kwa madoido kijantali.

Alichotuaibisha TID ni kuweka hadharani mambo ya nyuma, hapakua na ulazima. Alivyo mtata usishangae akatoa hadharani alimradi kuendeleza ligi.
 
Hiyo dharau ya TID anaathirije wanaume wote?
Kama ni hivyo kwa nini sifa za Kanumba na Diamond zisisambae kwa wanaume wote na kufuta hiyo dharau ya TID maana yeye yuko mmoja na hao wachapa kazi wako wawili?
 
Katika dunia hii usishindane na serikali, mtu mwenye pesa na mwanamke. Ona sasa yanayomkuta TID kashindana na wema.

Kwa wale ambao walishawahi kutembea na mke/mpenzi wa mtu, jibu kama hilo ni la kawaida sana kwa mwanamke kumponda mumewe (ana kibamia, hajui kitu, anakaa miezi mitatu hanigusi, hana uwezo wa kusimamisha, kimoja tu hajiwezi etc)
 
kama ni kweli staa mkubwa anadomo chafu hii kitu ni wanaume wote inatuhusu nini kuhoji uumbaji wa mungu kwa nini anacheka uumbaji wa mungu kibamia dah inauma sanaaa mungu anaona team kiba% TID keep bize na misheee uwanaume kaziii
 
Hiyo dharau ya TID anaathirije wanaume wote?
Kama ni hivyo kwa nini sifa za Kanumba na Diamond zisisambae kwa wanaume wote na kufuta hiyo dharau ya TID maana yeye yuko mmoja na hao wachapa kazi wako wawili?

TID " kibamia " syndrome imekithiri mno kwa Vijana wetu wa sasa Mkuu na ndiyo maana tunaumia. Hao wa kama akina Marehemu Kanumba na Diamond hatupo wengi na " tunahesabika ".
 
TID " kibamia " syndrome imekithiri mno kwa Vijana wetu wa sasa Mkuu na ndiyo maana tunaumia. Hao wa kama akina Marehemu Kanumba na Diamond hatupo wengi na " tunahesabika ".
Unajua hicho kibamia ukimpata mscha ukamtoa bikra ukaishi nae moja kwa moja huwezi kujua ni kibamia. Tofauti ni kwamba mwanamke akiwa ameshazionja kila kipimo ndo anajua huyu kibamia na huyu sio. Papuchi ya mwanamke ndo ina tambua hiki ni kibamia na hiki sicho hata kama unajiona una pipe ya kutosha kuna sehemu ukifika wewe ni kibamia tu
 
Nakubaliana kabsaa na wewe alichofanya T.I.D. Ni ushamba wa hali ya juu au alitaka kick.
 
Kama ingekuwa mimi T.I.D. Naongea na Zamaradi au mtangazaji yoyote anifanyie interview ya live halafu NAIONYESHA Ila kuprove kama Wema Muongo, Huu ni mtazamo wangu tu.
Wewe noma. Sheria hazitaki mambo hayo Tz, atafungiwa zamaradi, TID na kituo chenyewe cha Tv...zaidi zaidi watoto wa TID, wakwe na wazazi watachukuliaje aibu itakuwa kubwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…