Pole sana TID "Mnyama"

Jamaa ni bonge la legendary katika bongo flava ila kapoteza heshima kabsaa kwa ishu za kipuuzi kias kwamba kila mtu anamuona kama mtu wa kawaida sana
 
Hayo magazaeti sijui kwa nini Nape anayaachalia, hayo ndio yalipaswa kuwa ya kwanza kufungiwa.

Vv
 
Unahitaji maombi ya haraka
 
Ukiona X wako hakukumbuki kwa lolote hata kukutaja taja basi jitathmini.....!
 
Kweli wema kimeo, anaweza kudiliki kusema wazi wazi kwamba kabanduliwa na ABC bila kuogopa mama yake au baba zake, wajomba, kaka zake nakadhalika wanajisikiaje? Wema ni faraja sana kwa wagumba, kwamba bora kutokuwa na mtoto kuliko ukajaaliwa wema
 
Reactions: MC7
Binafsi Nasema Issue Ya Wema Kukatwa Na TID Bado Iko Pale Pale Haijalishi Mshikaji Ana Kibamia Wala Kutojua Kwake Mapenzi.
"Full STOP"
 
Binafsi Nasema Issue Ya Wema Kukatwa Na TID Bado Iko Pale Pale Haijalisha Mshikaji Ana Kibamia Wala Kutojua Kwake Mapenzi.
"Full STOP"
sema mwenyewe amechongwa mashavu mhhh no kiantena
 
Jamani nilipatwa kidogo TID amefanyaje hadi madam afunguke hvyo?
 
Angemla tigo angekua na uwezo wa kujibu haya mapigo
KIBAMIA ON FLEEK[emoji1] [emoji1]
 
Samtaimu wanawake wanafiki.........mkikorofishana wanaongea shombo tu
May be sio kweli kwamba TID ni kiba100 na hajui mambo bali wana bifu binafsi tu na TID hawezi kutuonesha dudu ili aprove yy siyo kiba100 na hajui mambo
Kweli umesema ndo walivyo
 
mi nahisi TID hana upungufu.... ila alikosea kwenda kwenye karo mpaka akawa anaelea.... hivo huyo wema kwa sasa ni karo anahitaji NGUZO hivo vingine vinampwaya...
 
Kweli wema kimeo, anaweza kudiliki kusema wazi wazi kwamba kabanduliwa na ABC bila kuogopa mama yake au baba zake, wajomba, kaka zake nakadhalika wanajisikiaje? Wema ni faraja sana kwa wagumba, kwamba bora kutokuwa na mtoto kuliko ukajaaliwa wema
Huyu demu ni zaid ya kimeo maana mm kama mwanamke siwez kuongea hivyo mbele ya hadhara hata ck moja etii fulan alikosha inahusu nn ni aibu kwake hii yote ni kukosa staha sijui kwann hana aibu
 
kikubwa point tatu muhimu tu tid kashanyakua hizo kwa kula mzigo in morinyoo style mambo kama ya barcelona ya nini wakati point tatu tu
 
Reactions: MC7
TID analipia gharama ya Kutwanga changudoa anaejuana nae!
Huyu Mtoto wa Balozi Sepetu nadhani Maana ya sehemu ya siri kwake imeshakiukwa maana kila Anaetaka kupaona na kutenda kazi anamruhusu tu!

Mchi wa kutwangia hata uwe Mkubwa vipi hauwezi kutosha kwenye kinu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…