njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Fred anaenda kula hasara ya karnesinunui jezi mpaka wamuondoe huyu kocha wao walio tuletea.Uto watufunge alafu na jezi ninunue,bado na kocha ni yuleyule mbovu vipigo bado vitaendelea.
Ni muda wa ngedere kumkana mwanae![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mmeanza kususa eeh!!