F fmwanda Member Joined Dec 15, 2011 Posts 21 Reaction score 1 Dec 22, 2011 #1 mafuriko haya yanatokana na miundo mbinu na mipangilio mibovu ifanywayo na serikari iliyoko madarakani.Kupitia ukurasa huu nawasihi wananchi wenye mapenzi mema tusaidiane ili kuyanusuru maisha ya wahanga hawa wa mafuriko katika mikoa tajwa
mafuriko haya yanatokana na miundo mbinu na mipangilio mibovu ifanywayo na serikari iliyoko madarakani.Kupitia ukurasa huu nawasihi wananchi wenye mapenzi mema tusaidiane ili kuyanusuru maisha ya wahanga hawa wa mafuriko katika mikoa tajwa
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,991 Reaction score 24,211 Dec 22, 2011 #2 yaani, inatisha ukiona kwenye TV?!! Kama phillipines