Wakuu wapenda Soka, kwanza poleni kwa kipigo cha jana - wengine hatukuumia sana sababu tulijua kutoka ni ngumu, Kuanzia dk ya 60 wachezaji wetu walichoka - hapo ndipo linakuja suala la NJAA - yaani Lishe - Stamina duni. Tuyaache hayo moja kwa moja kwenye mada.
Hata ninyi wadau wa soka mnaona kabisa waziwazi kwamba mpira wetu hauendi popote pale sasa si vibaya kama taifa tukaanza upya - nina maana kufikia 2025 tuwe na timu bora ya vijana under 17, tunaipataje hii?
Namna ya kuwapata ni kuandaa mashindano ya kitaifa ya shule za misingi nchi nzima (hima hima) ambayo miaka ya nyuma yalikuwapo - kutoka mashindano haya basi tupate watoto under 12 years wawe kama 200 hivi wale the best kabisa hawa sasa ndiyo iwe mboni ya Taifa letu kwenye soka.
Watoto hawa wapelekwe kwenye soka Academy nchi za ulaya na sisi watanzania tulipe - Kule watapata elimu nzuri ya kisoka na baada ya miaka 4 hadi 5 wengi wao watapata Club za kucheza huko huko.
Itakapofika 2025 tutakuwa na timu bora ya vijana ya under 17 bora zaidi na 2030 tuwe na timu bora kabisa ya taifa ili watanzania msilie lie.
TFF itafute watalaam waelekezi toka nje ya nchi ikiwezekana maana wabongo kwa dili hatuaminiani kuchukua watoto wa shangazi na mjomba hapana. wataalam wa nje watatusaidia kujua talent ya kila mtoto aliyonayo kwa usahihi zaidi.
Wengi mnaweza kuona kwamba wazo hili ni kushoshana lah hasa, bila kuwekeza usitegee kuvuna !! sawa unaweza kuona hili wazo litachukua muda mrefu na gharama nyingi lakini ukitaka mafanikio lazima uwekeze kama Taifa.
Kwa mfano hawa watoto 200 gharama ya kuwasomesha kwa mwaka mmoja ni bil 10 approx, sasa kwa miaka 7 watakayokuwa huko inakuja Bil 70 - Watanzania tupo Mil 50 je tutashindwa kuchanga Bil 100 ?
Kama wazo ni refu na linashosha basi tukubali kila mara kunyolewa kama Mzee Ruksa alivyotupa wosia, ki ukweli ni kwamba sisi tupo nyuma sana sana kwenye soka - nchi nyingi za Africa zimetuacha mbali mno ni muda sasa wa kuwekeza kwa watoto ili 2030 tuweze na sisi kushiriki kombe la Dunia.
Mwisho, poleni kwa kipigo cha jana, na natumaini hata Algeria watatufunga tena mengi tu, na tutumie vipigo hivi kutafuta suruhisho la kudmu kwenye soka.
Dawa ni moja tu - Kuwekeza kwa watoto wenye vipaji - (8 - 12) yrs wapo tena wengi tu ili baada ya miaka 7 na wewe Mtanzania uanze kutembea kifua mbele - Kumchukia yule dogo (20) wa Senegal kwa kutufunga kwa nduki kali hakutusaidii kitu.
Chukueni ama Acheni, na mkiacha msilalamike mkipigwa sababu hamtaki kuwekeza.