Poleni majirani kwa kupoteza matajiri watano ndani ya siku 6; pokeeni chanjo muache mzaha

Hao matajiri wote wanaokufa tz ujue wamechanjwa siku nyingi nje ya nchi ulus

Ulisikia mmoja ndugu yake kasema kabisa
 
Endeleeni kumskliza huyo mtikisa mauno Gwajima ambaye amewashikilia ubongo, yeye alimpotosha sana mwendazake hadi kumponza, zile kauli za eti tumeomba siku tatu corona ikajifia yenyewe, ujuha yaani.
Katika haya maneno yako sijaona jibu la swali langu,au na wewe ni matokeo ya chanjo?
unaulizwa hiki unajibu kile.
 

Hehehe, it will take ten more years and people will keep dying na watu wataendelea kumlaumu mtu aliyekufa [emoji3]
 
Sawa jirani,subiri kwanza hii phase ipite ndio tutaniane...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…