Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,656 Reaction score 3,785 Sep 22, 2025 Thread starter #21 Nalia na wanangu wa kariakoo waliopoteza maisha kwa kucheleshwa msaada
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,656 Reaction score 3,785 Sep 22, 2025 Thread starter #22 Nalia na binti anayeelekea kujifingua sasa na ndiyo anagundua vitu sio bure kama alivyokuwa anadanganywa na CCM
Nalia na binti anayeelekea kujifingua sasa na ndiyo anagundua vitu sio bure kama alivyokuwa anadanganywa na CCM
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,656 Reaction score 3,785 Sep 22, 2025 Thread starter #23 Kwa chama kilichowekeza kwenye ufisadi, uuaji, utekaji, uvunjaji wa haki za binadamu na kuzalisha uchawa, mimi nilie hapana sitolia
Kwa chama kilichowekeza kwenye ufisadi, uuaji, utekaji, uvunjaji wa haki za binadamu na kuzalisha uchawa, mimi nilie hapana sitolia
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,656 Reaction score 3,785 Sep 22, 2025 Thread starter #24 Sijalia kabisa, nalia na familia ya dokta Ulimboka. Sasa ameshindwa kuifurahia nchi yake.
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,898 Reaction score 9,809 Sep 22, 2025 #25 Mashamba Makubwa Nalima pole mkuu, yana mwisho.
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,656 Reaction score 3,785 Sep 22, 2025 Thread starter #26 Joselela said: Mashamba Makubwa Nalima pole mkuu, yana mwisho. Click to expand... Kabisa mkuu
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,656 Reaction score 3,785 Sep 22, 2025 Thread starter #27 Nalia na Watu 11,703 waugua kipindupindu, 145 wafariki dunia tangu Januari mpaka december mwaka jana. Tuliwasusa hata kwakuwapa elimu ya kutosha na huduma mzuri kama maji ya uhakika
Nalia na Watu 11,703 waugua kipindupindu, 145 wafariki dunia tangu Januari mpaka december mwaka jana. Tuliwasusa hata kwakuwapa elimu ya kutosha na huduma mzuri kama maji ya uhakika
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,656 Reaction score 3,785 Sep 22, 2025 Thread starter #28 Nalia na wafanyabiashara waliopata shida kwasababu hawakuchangia hela ya mwenge
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,656 Reaction score 3,785 Sep 22, 2025 Thread starter #29 Nalia na vijana wakiTanzania waliofanywa mapunda
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,656 Reaction score 3,785 Sep 23, 2025 Thread starter #30 Nalia na watoto wanaorudi nyumbani usiku sana kwasababu ya shida ya usafiri
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,597 Reaction score 29,527 Sep 23, 2025 #31 Mi nalia na pole pole
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,656 Reaction score 3,785 Sep 23, 2025 Thread starter #32 Nalia na waTanzania wanaohangaikia maji muda huu
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,656 Reaction score 3,785 Sep 23, 2025 Thread starter #33 Nalia na familia iliyopoteza kijana wao kwa kugongwa na gari kwenye msafara wa raisi.
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,656 Reaction score 3,785 Sep 25, 2025 Thread starter #34 Nalia na bibi yangu aliyevunjika mguu akiwa anabeba maji Mwanza
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,656 Reaction score 3,785 Sep 26, 2025 Thread starter #35 Nalia na wagonjwa wanaolipishwa pesa ndefu dawa hospitalini
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,656 Reaction score 3,785 Sep 26, 2025 Thread starter #36 Nalia na vijana wa kariakoo wanaopotezwa kila siku
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,656 Reaction score 3,785 Sep 26, 2025 Thread starter #37 Nalia na watu waliopoteza maisha juu ya uzembe wa mamlaka kwenye uokoaji
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,656 Reaction score 3,785 Sep 26, 2025 Thread starter #38 Sijalia kabisa, nalia na familia zilizopoteza ndugu zao katika hizi harakati za kutetea uatawala wa mkoloni
Sijalia kabisa, nalia na familia zilizopoteza ndugu zao katika hizi harakati za kutetea uatawala wa mkoloni
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,656 Reaction score 3,785 Sep 27, 2025 Thread starter #39 Nalia wa watoto na wakazi ambao mida kama hii wanasubiri hata bus moja lipite
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,656 Reaction score 3,785 Sep 27, 2025 Thread starter #40 Nalia na binti aliyetekwa kwasababu ana akili, serikali haipendi watu wenye akili