Eliezar Mlwafu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 449
- 140
Naomba msaada wa mawazo yenu na ushauri kwa ujumla.mm huwa na sumbuliwa na kichwa sio mara kwa mara nilifanya vipimo mbali mbali lkn kichwa kilionekana hakina tatizo ndipo nilipo andikiwa kwenda kupima macho,ndipo pale nilipo ambiwa dawa yake ni kuvaa miwani hivyo wameniandikia na tayari ninayo japo cjaanza kuivaa,naombeni ushauri wenu hakuna njia nyingine inayoweza kunisaidi ili nisiivae miwani maake naiogopa kweli kweli.
Naombeni ushauri wenu
Naombeni ushauri wenu