Poleni na majukumu wapendwa

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
Naomba msaada wa mawazo yenu na ushauri kwa ujumla.mm huwa na sumbuliwa na kichwa sio mara kwa mara nilifanya vipimo mbali mbali lkn kichwa kilionekana hakina tatizo ndipo nilipo andikiwa kwenda kupima macho,ndipo pale nilipo ambiwa dawa yake ni kuvaa miwani hivyo wameniandikia na tayari ninayo japo cjaanza kuivaa,naombeni ushauri wenu hakuna njia nyingine inayoweza kunisaidi ili nisiivae miwani maake naiogopa kweli kweli.

Naombeni ushauri wenu
 
Inategemea na shughuli zako unafanyia wapi hasa?

Je una kunywa maji ya kutosha? Manake inawezekana kuna kuwa na upungufu wa oxygen mwilini. Je unatumia AC sana? Hili tatizo lilikuwa linanisumbua sana, nikaenda hospital wakasema niachane na matumizi ya AC.

Nikaacha na sasa hakiumi tena.
 
Ac situmii sana ila fen na shughuli zangu ni kawaida tu za kila siku
 
kama kinauma sana wewe vaa tu miwani.
Pia tumia tumia vegetables na juice ya karoti.
Vaa miwani pale inapobidi tu sio kila wakati.
ukiona kunaunafuu basi acha kuvaa
 
Kwanini unaiogopa miwani?

Itakuharibia reception nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…