KDF-BabaYao
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 221
- 317
Duuuh poleni ndugu zetu, nimepata habari hizi leo. I hope Pombe alideal na hii issue.
Si vizuri kuona bus zenu za mwendokasi zikizimika barabarani kwa sababu ya mafuriko
Shida inaweza kuwa gani: design ndio ilikuwa mbaya, mchina aliwacheza chenga ama ni drainage mbovu mnazo?
I hope hakuna alieangamia🙆♂️🤔😥
Hapa naona mnunue ferry sasa🐒😥