Poleni ndugu zetu kwa Mafuriko Dar es Salaam

KDF-BabaYao

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
221
Reaction score
317
Duuuh poleni ndugu zetu, nimepata habari hizi leo. I hope Pombe alideal na hii issue.

Si vizuri kuona bus zenu za mwendokasi zikizimika barabarani kwa sababu ya mafuriko

Shida inaweza kuwa gani: design ndio ilikuwa mbaya, mchina aliwacheza chenga ama ni drainage mbovu mnazo?

I hope hakuna alieangamiaπŸ™†β€β™‚οΈπŸ€”πŸ˜₯

https://www.facebook.com/

Hapa naona mnunue ferry sasaπŸ’πŸ˜₯

 
 
Ukiwa unachelewa kuripoti matukio namna hii hata JF itakuwa inaonekana Obsolete forum.
Haya mambo ya kale yawe yanabakia kule kule kale.
Dar kuna jua kali sana. Wacha tuendelee na maisha yetu
 
Si kwanza hii ni ile barabara wamekuwa wakijipigia kifua hapa ati its modernπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Dar is a sea. Dares slum itamezwa na bahari in the next 80 years as sea levels rise.
 
Ndio maana saizi tumedhamiria kuwapiga spana maccm yote wakiongozwa na gari ya mkaa,kampeni 1 gereji wiki
Wamekuwa waste Sana kwenye hii nchi,nyie wakenya Kama mnamtaka dikteta uchwara njooni mumchukue bila malipo ,tunawapa Kama zawadi ya ujirani mwema πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸ€ͺ πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Huyo hatumtaki! Kenya atapata wakati mgumu sana. Humu watu vichwa ngumu πŸ˜… ila tunawatakia uchaguzi wenye amani!
 
Mukimfurusha, tutamruhusu avuke border kisha tumfunge pale Kamiti Maximum Prison na mahabusu wenzakeπŸ’
 
Dar is a sea. Dares slum itamezwa na bahari in the next 80 years as sea levels rise.
The next venice au sio, kwa hivyo waanze kujipanga mapema. Hakuna haja ya kutengeneza sky scrapers huko🀣

Yote yatamezwa na bahari duuh
 
Hiyo Dar imewashinda kurekebisha chochote, mvua kidogo tu huwa panafurika hadi balaa, harufu za kiajabu ajabu, hovyoo sana.
 

utakaza wewe spana anapigwa magu.
 
Mafuriko yenu nyie hamyaoni yalioua zaidi ya watu 300+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…