Poleni Sana ndugu zetu form six (6)

Poleni Sana ndugu zetu form six (6)

Dirath

Member
Joined
May 27, 2020
Posts
46
Reaction score
32
JAMAAN ndugu zetu form six (6) wanateseka Sana kusomaa Hadi sometimes wanawaza wajifukizee TU izi notes.

Tuwaombeeni dua
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Halafu mimi sijaelewa kitu kimoja. Kama Form Six watafanya mitihani kwa kuwahi ili wawe on schedule wakati ratiba ya vyuo wanavyotarjia kujiunga vyenyewe haviko on schedule, watawezaje sasa wao peke yao kuwa on schedule? Mimi nilidhani wangewapa tu muda wa kutosha wakafanya mitihani hata kuanzia mwezi wa nane. Watakuwa on schedule wao, lakini nafasi zao zitakuwa bado zinashikiliwa na watu wengine kwenye vyuo ambavyo walitarajia kuingia
 
Una uhakika na uliandikalo
 
Back
Top Bottom