Halafu mimi sijaelewa kitu kimoja. Kama Form Six watafanya mitihani kwa kuwahi ili wawe on schedule wakati ratiba ya vyuo wanavyotarjia kujiunga vyenyewe haviko on schedule, watawezaje sasa wao peke yao kuwa on schedule? Mimi nilidhani wangewapa tu muda wa kutosha wakafanya mitihani hata kuanzia mwezi wa nane. Watakuwa on schedule wao, lakini nafasi zao zitakuwa bado zinashikiliwa na watu wengine kwenye vyuo ambavyo walitarajia kuingiaJAMAAN ndugu zetu form six (6) wanateseka Sana kusomaa Hadi sometimes wanawaza wajifukizee TU izi notes.
Tuwaombeeni dua
πππππππππππππππππ
Una uhakika na uliandikaloHalafu mimi sijaelewa kitu kimoja. Kama Form Six watafanya mitihani kwa kuwahi ili wawe on schedule wakati ratiba ya vyuo wanavyotarjia kujiunga vyenyewe haviko on schedule, watawezaje sasa wao peke yao kuwa on schedule? Mimi nilidhani wangewapa tu muda wa kutosha wakafanya mitihani hata kuanzia mwezi wa nane. Watakuwa on schedule wao, lakini nafasi zao zitakuwa bado zinashikiliwa na watu wengine kwenye vyuo ambavyo walitarajia kuingia
Sijaelewa namna syncronisation hiyo ilivyofanyikaUna uhakika na uliandikalo