Leo ilikuwa ni fainali ya Kombe la Mapinduzi. Mlijiamini kwa asilimia 100 kuwa kombe mnalibeba mkasahau kuwa mpira ni dakika tisini. Poleni sana. Binafsi naona kuwa mlifanya uamuzi usio wa busara kwa kuachana na Kocha Patrick Aussems.
Kocha huyu mlieachana naye alikuwa anajua kuusoma mpira na mafanikio yote ya Simba yalitokana na kocha Aussems kwa kuwa karibu na wachezaji na kuwapa mbinu za ushindi. Nazidi kuwapa pole, POLENI SANA.