Hakuna mwenye time na treni lenu, dead man walking, chinese hawaoni mkiweza kuwalipa ndio maana wanajimilikisha, hilo gazeti linafanya whistle blowing ni la kwenu, badala utake into consideration, unahisi magufuli anataka lisimamisha treni lenu.Nani atasimamisha hii treni?
Ni magazeti?
Ni Magufuli?
Ni Geza?
Next year treni yafika Naivasha. Kelele za chura haziwezi zuia ng'ombe kunywa maji.
Hakuna mwenye time na treni lenu, dead man walking, chinese hawaoni mkiweza kuwalipa ndio maana wanajimilikisha, hilo gazeti linafanya whistle blowing ni la kwenu, badala utake into consideration, unahisi magufuli anataka lisimamisha treni lenu.
Baki na ujinga wako
treni na project yote ni ya China ktk ardhi ya Kenya!!Wanaosema hawana time ya treni letu ndio wanaongea kulihusu zaidi.
Yanayostahili kuangaliwa kutokana na hiyo taarifa yataangaliwa.
Lakini kumbuka. Treni ni ya Kenya. Loan ni ya Kenya. Na tutalipa kwa pesa yetu cash.
treni na project yote ni ya China ktk ardhi ya Kenya!!
note:huwezi kuona hili kama hutaki kuona...!
nyang'au kanyang'auliwa..!!Wakenya ndio wanachukua muda mfupi sasa kufika Mombasa. Sijaona Wachina wakisafiri kwa hio treni.
Wakenya ndio usafiri wao wa Mombasa umekuwa safer.
Wakenya ndio container zao zimepunguziwa bei na muda wa usafiri.
Deni tutalipa kwa aliye tukopesha.
And even before SGR was completed, we knew and were told that a Chinese company will operate the service for the first 10 or so years. Hio ilikuwa one of the conditions ya deni.
Hakuna jambo geni hapa. Magazeti na agenda yao ndio hujifanya kwamba yamegundua jambo mpya.