Poleni sana wana Simba

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Mpira ni dakika tisini. Ndivyo ilivyotokea leo. Poleni sana. Mpira wenu kwa kweli umerudi nyuma sana siyo kama wakati wa Patrick ausemms. Mjitafakari muone kuna tatizo wapi. Lile boli la kutandaza halipo tena.

Muwe na makocha wazuri wa makipa. Naona makipa wote wawili wana matatizo fulani. Wote ni wazuri lakini mipira inayowapita ni mipira isiyotarajiwa.

Nahitimisha tena POLENI SANA.
 
Kawaida hiyo bado tuko kileleni tunawasubiri wenye baiskeli za mbao ili tuanze safari mpya pamoja. Povu ruksa
 
Adui muombee njaa, ila watani mechi ya leo refa kawaua,Boko na Fraga hawakuwa offside.Waamuzi wa TZ tatizo.

Ila kocha wenu tatizo,Simba wanacheza mpira wa kawaida sana tena kama wanabahatisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…