Poleni sana wana Simba

Mimi mpenzi wa mpira na mpenzi wa Yanga,sio shabiki kama ww na mpira naujua Boko na Fraga hawakuwa offside.Waamuzi sasa hivi hawajiamini na wana presha sababu Mwenzao kafungiwa miaka mitatu.
Kuna kiongozi ataenda kwenye press huku amebeba tv...
 
Dada zetu wametusaidia kwa ushindi mnono wa goli 3, poleni maana mademu wa vyura nao wamelambishwa 1
 
Aussems nae alikuwa mbovu tu, kocha Simba alikuwa Masoud Djuma na Leschante.

Ni wakati sasa wa kuanza kuwaamini makocha wazawa, mbona tunaona timu zao zina mbinu nzuri kimpira? Angalia Polisi, JKT Tz, Mtibwa, nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mpenzi wa mpira na mpenzi wa Yanga,sio shabiki kama ww na mpira naujua Boko na Fraga hawakuwa offside.Waamuzi sasa hivi hawajiamini na wana presha sababu Mwenzao kafungiwa miaka mitatu.
Muhimu JKT kapata pointi 3 na mbumbumbu kafungwa! Malipo hapa hapa, mliwadhulumu Namungo na Polisi hivi hivi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la SIMBA linaanzia kwa mwekezaji, bodi ya wakurugenzi, msemaji.

Haiingii akilini unamtimua Uchebe afu unaleta kocha ambaye CV yake haipishani na ya Zuberi Katwila
 
Tatizo la SIMBA linaanzia kwa mwekezaji, bodi ya wakurugenzi, msemaji.

Haiingii akilini unamtimua Uchebe afu unaleta kocha ambaye CV yake haipishani na ya Zuberi Katwila
Tatizo sio kocha, hata bila kocha timu inashinda, tatizo ni timu zingine haziongek!
 
Attachments

  • Huyu mzee ana zeeka vibaya anaandika ujinga huu halafu anafuta, sasa namwambia h ( 937 X 750 ).jpg
    48.3 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…