Inasikitisha sana mkuu najiuliza tu hii hali itaendelea mpaka lini?Mpaka mtu unashindwa ukahudhurie msiba wa nani
Jr[emoji769]
Huruhusiwi kuhudhuriaMpaka mtu unashindwa ukahudhurie msiba wa nani
Jr[emoji769]
Sawa mkuu, vifupisho muda fulani huwa na maana zaidi ya moja kwa hiyo ni vema kuuliza.πππππ awe anamalizia mambo ya kuchanganya kiswainglish imebidi niulize tu
RTD ni ufupisho wa neno Retired. ( Mstaafu) sawa kijana??RTD ni radio tanzania ama?
Huu ugonjwa ni hatari sana kuliko coronabila shaka idadi hiyo imechangiwa na tatizo la upumuaji lililoibika hivi karibuni baada ya CORONA kupungua kasi.