Kwa wiki nzima kaulimbiu ya wapenzi wa Klabu ya Simba "YANGA HAWATOKI SAFARI HII KWA USAJILI HUU ULIOFANYIKA" lakinI pamoja na kaulimbiu yenu Yanga wametoka na mmefungwa. Lawama zote zimuendee kipa CAMARA.
Mpira uliopigwa na Chama kwa asilimia 100 ulikuwa unatoka nje sasa mbwembwe za nini kuufuata mpira ili audake. Huyu kipa ndo amewaangusha anayo mbwembwe sana na kama angekuwa Manula golini lile lisingekuwa goli.
Mziki wa Yanga bado unatisha. Kipindi cha pili Simba walikuwa kama watoto wadogo na Yanga walimiliki mpira kwa asilimia 55 dhidi ya simba asilimia 45. Poleni sana Wapenzi wa Simba huo ndiyo mpira.