Clouds hasa yule dada ni mweupe sana ku-copy na MERITOCRACY.Jana Clouds FM walifanya jambo muhimu sana kisheria, kuiepusha taasisi na kesi ya defamation, walionyesha kwamba taasisi hai-own maneno machafu yaliyokuwa yakitolewa.
Vyombo vingine vya habari muwe lakini msije mkajikuta mnasambaza udhalilishaji mkalipa fidia za mabilioni.
Utake usitake, mmachame anaomdokaHicho chama sio cha walima alizeti
Neno gani walilolichuja?Jana Clouds FM walifanya jambo muhimu sana kisheria, kuiepusha taasisi na kesi ya defamation, walionyesha kwamba taasisi hai-own maneno machafu yaliyokuwa yakitolewa.
Vyombo vingine vya habari muwe lakini msije mkajikuta mnasambaza udhalilishaji mkalipa fidia za mabilioni.