Poleni waathirika, shukrani na hongera kwa makomando kwa kukamilisha shughuli

Wawamalize hawa magaidi, Asiondoke hata mmoja.













Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sana

5/5.
 
poleni sana,Ndugu zetu
lakini punguzeni majigambo na sifa zisizo na msingi.
Tupo pa1

#My God Iz Awesome [emoji123]
 
Nimewaandia watu wenye akili ambao wanauwezi wa kusoma between lines na kugundua makosa, sikuwalenga stupid people wenye akili finyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha! 😀 Povu. Between the lines pamejaa pumba tupu. Siku nyingine usiibuke na porojo za kujitungia baada ya kuzidiwa na stimu za wanzuki. [emoji1]
 
Hakuna dini inayowalingania waumini wakajilipue...
 
kwa hiyo hao wamekuja kutngaza dini
 
Ni kambi ya jeshi... lakin ni regular army. Kambi ya makomandoo huwa ni tofauti na inajitenga. Waende hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu dogo anachonga tu...hata komandoo akipigwa ambush hana ujanja. Unaponda kambi ya jeshi la kenya Somalia...Watakiwa kujiuliza wanajeshi wa Tanzania waliouawa Congo nao walikuwa wanafunzi?

Issue hapa wamepigwa ambush....Hata wamarekani walishapigwa ambush mara kibao na walishindwa vibaya mno....hata Israel wanaosifika kwa Technics za kivita kuna wakati inabidi waretreat kujipanga upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…