kwa taarfa wanafunz wa shle ya sekondar njombe jana usku walichoma moto bweni, duka, pamoja nakuharibu mali za walimu wakipinga uongozi kandamizi shuleni hapo
duu hata ss kipind tupo ilitokeaga hii kwa form VI
hawajielewikwa taarfa wanafunz wa shle ya sekondar njombe jana usku walichoma moto bweni, duka, pamoja nakuharibu mali za walimu wakipinga uongozi kandamizi shuleni hapo
Haya ndio mambo ya kutukana mamba kabla ya kuvuka mto. Utaharibu vipi sehemu unayoishi?
I visited the school a week ago to collect my certificate, poleni sana wanajumuhia wote kwa janga hilo lililosababishwa na wajinga wachache.....