venance7
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 558
- 1,645
Kwanza pongezi kwa wachezaji kwa kupambana hadi kufikia hapo,lakini hii imekua robo fainali ya tatu tunatolewa katika michuano ya caf ndani ya misimu minne.
Ni muhimu sasa kujua nini kinatukwamisha hadi hatuvuki hapa.
Kwanza tunahitaji uwekezaji mkubwa ndani ya uwanja wachezaji wengi uwezo wao umepungua, timu inahitaji maboresho makubwa, pili uwekezaji katika benchi la ufundi ikiwezekana atafutwe kocha mzuri zaidi.
Kama tunahitaji kuvuka raundi hii viongozi wasajili kweli,kuna game huwa tunazidiwa quality tu za wachezaji.
Ukweli mchungu msimu huu malengo yote hayajatimia.