Kwanza pongezi kwa wachezaji kwa kupambana hadi kufikia hapo,lakini hii imekua robo fainali ya tatu tunatolewa katika michuano ya caf ndani ya misimu minne.
Ni muhimu sasa kujua nini kinatukwamisha hadi hatuvuki hapa.
Kwanza tunahitaji uwekezaji mkubwa ndani ya uwanja wachezaji wengi uwezo wao umepungua, timu inahitaji maboresho makubwa, pili uwekezaji katika benchi la ufundi ikiwezekana atafutwe kocha mzuri zaidi.
Kama tunahitaji kuvuka raundi hii viongozi wasajili kweli,kuna game huwa tunazidiwa quality tu za wachezaji.
Ukweli mchungu msimu huu malengo yote hayajatimia.
Bora hata hao kuliko KAGERE NA BOCCOUna wachezaji kina Mzamiru, Mugalu na Kibu unataka ufike nusu fainali
Msimu ujao kweli msajili wachezaji maana nusu inahitaji kocha na wachezaji wazuri zaidi.Kwanza pongezi kwa wachezaji kwa kupambana hadi kufikia hapo,lakini hii imekua robo fainali ya tatu tunatolewa katika michuano ya caf ndani ya misimu minne.
Ni muhimu sasa kujua nini kinatukwamisha hadi hatuvuki hapa.
Kwanza tunahitaji uwekezaji mkubwa ndani ya uwanja wachezaji wengi uwezo wao umepungua, timu inahitaji maboresho makubwa, pili uwekezaji katika benchi la ufundi ikiwezekana atafutwe kocha mzuri zaidi.
Kama tunahitaji kuvuka raundi hii viongozi wasajili kweli,kuna game huwa tunazidiwa quality tu za wachezaji.
Ukweli mchungu msimu huu malengo yote hayajatimia.
Br huwa nakubali Sana mitazamo yako .....hunaga jazba na mihemuko kama vijana wanaodhani soka ama issue yoyote Ile kuwa na mawazo mbadala na wao ni vita...Ongezeni wachezaji wa ushindani wa kimataifa.....
Poleni watani zetu
Kwa kweli Orlando ni timu ya kawaida Sana. Ingekuwa Simba ya misimu miwlli nyuma huu ulikuwa mwisho wao.Moyo umechoka wakuuu....
Yaani Nahisi tunagundu, ingawa ukweli quality yetu ni wastani.
Mfano Benchi hakukuwa na mchezaji wa maana ukiondoa Bwalya.
Kinachouma ni kufungwa na team ya kawaida kama orlando. Yote ya yote moyo umechoka.
View attachment 2199493
Viongozi wakubali msimu huu katika usajili walichemka,nilitegemea kuona sura mpya ktk striker force,kiungo mkabaji nk,shida ushikaji wa viongozi na baadhi ya wachezaji utatugharimu sana, viongozi msiwafumbie macho wachezaji waliochoka,fanyeni usajili wa bei ghali,angalia kiwango na umri wa Wawa na onyango, angalia ubutu wa kagere,mugalu,mhilu,bocco,majeruhi ya mara kwa mara ya lwanga,kiufupi timu inahitaji maboresho mengi.Simba kapata anachostaili,ni ngum sana kuendelea mbele kwa wachezaji waliokua nao ,wengi wamechoka kama sio umr bas kiwango , na ata hawa vijana waliosajili au kuwepo hawana viwango wala muendelezo ligi iishe wafanye reform , bila ata kuoneana aibu kwa uzoefu walioupata kama wataongeza wachezaji wanne au watano ambao wataingia moja kwa moja ktk kikosi cha kwanza bas watafka mbal ,usajili ili ukutoe unapoishia kuendelea mbele bas sajil bora zaid ya anaemkuta ,sasa unauza mikison tuliza akr sana kumpata zaid yake, na pia kuna usajil naona walifanya kisiasa zaid kuwabakisha mugalu na kagere halikua jambo zur, fraga mbadala wake kuwa lwanga pia ulikua ni utan kukosa namba 10 aliemzd lkn pia bado hakuna ata nusu ya mbadala wa shomar na zimbwe ,bila kusahau hakukua na namba 10 ya maana zaid ya chama ,namba nane, sita pia ziliitaji watu bora zaid ,namba ambayo walisajili vzur kidogo baka japo ana madhaifu lkn ya kibinadam kwa mpra anaujua ,na kubwa zaid tutateseka sana kuondoka kwa Luis yule jamaa alikua Sawa Sawa ni tofaut na wachezaj wote waliobak sasa iv yule jamaa ni winga lkn anakaba kuanzia chin ataasist na atafunga na kutengeneza hatar nyng ,niliamin kagere ,boco na mugalu hawataweza kuifungia simba magor zaid kwa mwaka huu baada ya ya kuona msimu uliosha kama wangekua wafungaj wazur kuna mmoja wao au kama sio wote wangalifunga zaid ya magol waliyofunga maana nafas zilikua nyng walikua wanakosa sana
Ufike nusu kwa kutegemea juju na kupulizia watu kwa mkapaHaikua robo ilikua nusu fainali
Peace and love broda🙏Br huwa nakubali Sana mitazamo yako .....hunaga jazba na mihemuko kama vijana wanaodhani soka ama issue yoyote Ile kuwa na mawazo mbadala na wao ni vita...