Nishajua wewe ni flat screenNyie wanaume tunawapenda ila maneno ya mtandaoni yanawapotezaa hamueleweki mnataka wife ama matrakooo
Wewe unaonekana una nyodo sana, dawa yako inachemka.
Nishajua wewe ni flat screen
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😎Wewe unaonekana una nyodo sana, dawa yako inachemka.
Hawauzi hivo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120]
Huwa sinunui..Una pesa ya kununua we kapuku [emoji41]
Njoo unipatrie
Huwa sinunui..
Ila naweza kukupa njia 15 za ku brand biashara yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na huo mdondo wako wa kuku utaweza kweli tushazoea vya punda
Some stories have to be written because no one would believe the absurdity of it all...teh[emoji12]
Nitajaribu alf utanipa marks
Kila mtu alie kivyake wakati unaongea hivyo ungeambatanisha na interview ya Lupita nyong'o ...wanawake wana halingumu zaidi nakuhakikishia..
Kwaiyo wewe unataka kusemaje labda maana bado cjaitambua statement yakoWanaume siku hizi mapenzi yanawapelekesha mmevurugwa, kutwa kuchwa munawaandama wadada mara singo maza mara bikira mara ombaomba mara haki sawa
Kaka zangu nawapa pole sana hakika mnachanganyikiwa juu yetu
Ex wangu niliambiwa nusu apate kichaa baada ya kuachana na mimi alikesha baa alilelawa mno akanilaani sana…akatafutiwa mwanasaikolojiaaaa akapigishwa somo akakaa fresh
Nasemaje kuachana kwetu yeye alichangiaa kwaiyo sijamuonea huruma
Nyie wanaume tunawapenda ila maneno ya mtandaoni yanawapotezaa hamueleweki mnataka wife ama matrakooo
Bye[emoji23]