Poleni watumishi wa umma uyo ndio mama anaupiga mwingi hakuna ongezeko la mshahara

Tuacheni na may mosi ijayo tunapepea vibendera kama kawa
 
Lissu anaongoza serikali ipi? Vijana wa CCM akili mmeziweka wapi? Mtu anaongea kama unatumia tundu la haja kubwa.
Yeye si hapendi uonevu na mara zote yeye ni mkweli kwahiyo anaweza kuwavusha katika hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…