Polepole aache kuongea ongea, anaboa

Polepole aache kuongea ongea, anaboa

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Huyu jamaa Hana lolote la kutuaminisha, aache kuongea ongea, tunajua bhana how life goes, alichokifanya JPM Kila moja anajua bhana, kanunua midege, kajenga barabara za mtaa, kajenga majengo ya vituo vya afya bila watendaji kazi, SGR na bwawa la umeme, japo mpaka sasa 80% ya Watanzania hawajanufaika na miradi hii.

Amefanya hayo yote Kwa gharama ya kuminya ajira, kuondoa nyongeza za mishahara, kuongeza wigo wa Kodi Kwa wafanya biashara ndogondogo, kodi za majengo ya makazi, kuminya mazao ya wakulima n.k.

Yeye asubiri tu kama Mungu ataruhusu.
 
Hana cha kuzungumza mambo ya tiketi sasa mtu asisafiri kama yeye hajawahi kusafiri atulie tu,lakini anazidisha kuiaibisha CCM,mi naona bora apotezee tu azungumze mengine au kazi yake ndio imeshamaliza sasa anajipitisha.
 
Back
Top Bottom