Uchaguzi 2020 Polepole acha kuruka viunzi, tunataka utuambie kwa nini maisha yamekuwa magumu uraiani

Waje wote na Mpwa Dotto James ajibu hapa MLILIPA SHILINGI NGAPI? zilizobaki zi wapi?

 
Labda umpigie simu,maana makabrasha yake yanasema ni plan ya muda mrefu kufufua Atcl,na Bunge lilipitisha pesa za kununulia ndege.
Comrade ni wazi hapa unakiri kuwa kwenye manunuzi ya haya madege kuna ubabaishaji na kuna pesa imepigwa.
 
Hebu wekeni mkataba mezani
 
Acha upumbavu!jibaba zima lina lialia maisha magumu..
Unapenda vyabure eeeh!
Unataka polepole afanye nn,kama umeshindaje kupambana,shauri yako.
 

Lochumia tumbo hilo dude halina maana kabisa
 
CCM hawawezi kusaidia wananchi waliishiwa pumzi hata kabla ya covid-19 kwasababu wanatutawala km mifugo hakuna utawala wa haki wanaamua kufanya wanachotaka bila kujadiliana(bila demokrasia) kinacho shangazi kodi zetu wananchi wanaomba kwa mtu mmoja ambaye anazitoa kwa masimango na kejeli 'this regime has run this country like a company or a family '
 
Professor Magufuli promised the opposition will die out by 2020 (and worked so hard to achieve it).

Result? It doubled.

I now understand why he says these large crowds are "fake". You can't spend 5 yrs repressing people's basic freedoms and still expect to win their hearts and minds or else you are so dumb
 
Huyo mlala channel ten ataeleza nini maskini ziro ya P C M Azania ,vipi milioni hamsini kila kijiji ? Vipi ajira milioni sita ? Vipi malipo ya wastaafu , nyongeza za mishahara , madaraja , madeni ya watumishi Polepole ak.a Chakubanga hebu tujibu na haya ?
 
Kumbe wepesi sana mwanzo ilisemekana ununuzi wa ndege hakupita mchakato bungeni. Ujue tuna wa zoom tu, tutakuja kwenye mikutano yenu ila kura hatuwapi
 
Wananchi ni bunge, au kila mtu apostiwe kwenye simu yake
 
Maisha yashakuaga maraisi lini? we unadhan tanzania kuna maisha magumu? ulishawahi kufanya kazi anywhere kwenye states za marekani? ushawahi kulipishwa kodi 60% wewe? maisha magumu yaskie tu

Pumba! USA tumekaa na tumefanya kazi!
 
Hudhuria kampeni za mgombea udiwani na ubunge eneo lako utapata hayo majibu
 

The opposition, by its name, opposed itself, enventually falling into depression. The next 5 years will be even more repressing and depressing. Watch ma words
 
Kumbe wepesi sana mwanzo ilisemekana ununuzi wa ndege hakupita mchakato bungeni. Ujue tuna wa zoom tu, tutakuja kwenye mikutano yenu ila kura hatuwapi
Ujenzi wa uwanja wa ndege chato ndo haukujadiliwa bungeni
 
Asante Sana mwenezi kwa ufafanuzi murua kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…