Uchaguzi 2020 Polepole acha kuruka viunzi, tunataka utuambie kwa nini maisha yamekuwa magumu uraiani

Kazi ziko wapi? Mafundi ujenzi wanatafuta kazi kwa tochi. Mama ntilie mitaji inakatika vyakula vinachacha,wanaofungua magenge nyanya na vitunguu vinaoza. Hali ya kiuchumi ni mbaya sana.
 
Maisha yako yamekuwa maguu kwa sababu umegubikwa na mawazo mgando ya kuchangua Sacos badala ya kujikwamua wewe mwenyewe kwenye maisha yako. Fursa zipo nyingi sana chini ya Jemedari JPM.
 
Baada ya makamanda kuonyeshwa "dokumenti" za bunge zinazohusu kupitishwa kwa bajeti za ujenzi wa Chato international airport, ununuzi wa ndege, ujenzi wa bwawa la kufua umeme la JK Nyerere nk sasa mmeamia kwenye "hela mfukoni" hahaha
Si alikuwa wanakimbia bungeni.
 
Maisha yako yamekuwa maguu kwa sababu umegubikwa na mawazo mgando ya kuchangua Sacos badala ya kujikwamua wewe mwenyewe kwenye maisha yako. Fursa zipo nyingi sana chini ya Jemedari JPM.
Fursa gani kama hizi?
 
Hayo mambo moto moto uyafanye ukiwa umemuaga mkeo na watoto uingie front line. Usije ukafanya ushuzi online na mabiti ya kiwaki.

Ulitegemea siasa za upinzani zingepamba moto kama zilivyo leo... Kila lenye mwanzo kuwa na mwisho ni lazima...
This time dhuluma zao ni halali yetu... Kwa Mungu tutapeleka dua na Roho zetu...!!

#Sasa_Basi
 
Maisha yako yamekuwa maguu kwa sababu umegubikwa na mawazo mgando ya kuchangua Sacos badala ya kujikwamua wewe mwenyewe kwenye maisha yako. Fursa zipo nyingi sana chini ya Jemedari JPM.
Zipo kwa wateule pekee,mbona CCM kindakindaki huku mitaani nao wanabangaiza na kulumangia Nguru?
 
Show ya ya Kofii ticket laki tano na ziliisha na bado watu wakakosa ticketi.show ya Zuchu pia ni hivyohivyo na walioingia wengi ni watu wahali za kawaida kabisa.
Kusema hali ya maisha ni ngumu labda kama ni mvivu wa kusaka noti.
Kila weekend watu wanajirusha kila baa inajaa.
hii mada yako ni ya kisiasa sio ya uhalisia wa mambo jinsi yalivyo.
Wabongo kila leo wananunua magari ya kutembelea tu sio ya biashara,inamaana watu wanahela.
 
Unatakiwa uende mirembe ukatibiwe,kama watu kujaa show ya Zuchu ndio kipimo cha maisha bora ya wananchi.

Na hao wanaolalamika biashara na shughuli zimedolola unawaona wajinga? Watu wanajishughulisha ila hakuna mazingira rafiki kwa wananchi kupata pesa.
 
Nadhani kinachohitajika ni kubalance haya mambo kati ya maendeleo na maisha ya watu. Wote tunahitaji na tunapenda maendeleo. Lissu alivyokuwa anafanya kampeni yake kule mbeya kuna kisehemu cha barabara ya vumbi alipita na akawa analalamika kwanini barabara ni mbaya hivi? Mh. Polepole jaribu kuangalia the way how to balance these two issues ili malalamiko kutoka kwa wananchi yasiwe mengi. E.g Local suppliers wakilipwa marakwamara na serikali, purchasing power ndani ya jamii ya kitanzania itakuwepo na watu tutaona unafuu wa maisha na pia ukiwa unauza hata biashara ndogondogo wanunuzi watakuja.
 
Local supplier gani anapewa tenda sasa hivi? Kila kitu kinafanyika kwa forced account.
 
Stigilous Gorge hope itaanza kurudisha ikiisha hope 2 years time ahead.
 
Vioja! Kuna maisha artificial na maisha halisi!
 
Subirini wiki mbili za mwisho wa October, PANDORA BOX litafunguliwa lenye nyeti za mgombea wengi watu lazima wajue INTEGRITY ya boss wenu siyo kuongopea anataka kuwa rais wakati makando kando kibao. Hiyo inaitwa niguse NINUKE
 
Hivi ndivyo tathmini ya nchi inavyofanyika? safari yako bado ni ndefu mnoo pengine kama ya kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…