B bagamoyo JF-Expert Member Joined Jan 14, 2010 Posts 24,941 Reaction score 28,869 Oct 10, 2020 #1 Humphrey Polepole akielezea hatari za madaraka makubwa ya Rais kwa mujibu wa katiba iliyopo nchini Tanzania Rais amekuwa kama Mungu Mtu
Humphrey Polepole akielezea hatari za madaraka makubwa ya Rais kwa mujibu wa katiba iliyopo nchini Tanzania Rais amekuwa kama Mungu Mtu
Kilimbatz JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 4,331 Reaction score 5,865 Oct 10, 2020 #2 Ahahaaaa
B bagamoyo JF-Expert Member Joined Jan 14, 2010 Posts 24,941 Reaction score 28,869 Oct 10, 2020 Thread starter #3 Kweli muda huwa unatuambia ukweli kuhusu mwanasiasa huyu wa CCM Mpya.
Mystery JF-Expert Member Joined Mar 8, 2012 Posts 15,843 Reaction score 31,057 Oct 10, 2020 #4 Aisee hawa Polepole ni watu wawili tofauti sana! Huyu Polepole wa wakati ule wa Katiba ya Warioba na huyu Polepole ambaye ni Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM, ni watu wawili tofauti sana!
Aisee hawa Polepole ni watu wawili tofauti sana! Huyu Polepole wa wakati ule wa Katiba ya Warioba na huyu Polepole ambaye ni Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM, ni watu wawili tofauti sana!
Eng. Zezudu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 8,024 Reaction score 11,546 Oct 10, 2020 #5 Itakuwa alifanyiwa human clone. Kuna haja ya kumchunguza vizuri .
B bagamoyo JF-Expert Member Joined Jan 14, 2010 Posts 24,941 Reaction score 28,869 Oct 10, 2020 Thread starter #6 Eng. Zezudu said: Itakuwa alifanyiwa human clone. Kuna haja ya kumchunguza vizuri . Click to expand... CCM Mpya ni watu wabaya hawaruhusu mtu kuongea anachoamini !
Eng. Zezudu said: Itakuwa alifanyiwa human clone. Kuna haja ya kumchunguza vizuri . Click to expand... CCM Mpya ni watu wabaya hawaruhusu mtu kuongea anachoamini !
Bambushka JF-Expert Member Joined Jan 9, 2020 Posts 3,952 Reaction score 7,218 Oct 10, 2020 #7 Hii clip Chakubanga inabidi tumbadili jina tumuite Chakubimbi😀 maana kulikuwa na msemo miaka ile ukisema, CHAKUBIMBI UKIMUONA MUOGOPE! Everyday is Saturday................................😎
Hii clip Chakubanga inabidi tumbadili jina tumuite Chakubimbi😀 maana kulikuwa na msemo miaka ile ukisema, CHAKUBIMBI UKIMUONA MUOGOPE! Everyday is Saturday................................😎