Uchaguzi wa 2020 ulikuwa uchafuzi na mpaka Leo uchaguzi ule ni maarufu Kwa jina la uchafuzi.
Uchaguzi huu wa 2025 mpinzani mkuu na chama chake mmewafanyia hila na kuwaweka ndani ili mgombee peke yenu matokeo yake uchaguzi umedharauliwa.
Hizi ni hatua za mwisho za kuitamatisha ccm kwani mkishafanya dhambi zote hizi mtabakiza nini kabla hamjaondoka, hamjaondokewa au kusababisha machafukKabl
Usimnenee vibaya mkuu wa watu wangu, huyo ni mteule moyoni mwangu...2020 MWASISI WA UCHAFUZI JPM
Wanamtandao walimchafua Magufuli anuke ili ashindwe uchaguzi na wao waendelee kufisidi nchi. Magu akatambua hilo akaona Ili awashinde wahuni afanye alichokifanya kwenye uchaguzi na aendelee kuwamaliza na mwishowe wakamuwahi wao.2020 MWASISI WA UCHAFUZI JPM
IKo wapi uchaguzi? utafanyaje uchaguzi kwa tume km ile?ref uchaguz wa serikal za mitaa 2024 ilikuwaje? 2020 tume c hi ilikuwaje?Kwann mnasema uongo?Kwanza Chadema hawakuzuiwa kushiriki uchaguzi Bali walijizuia wenyewe,Kuhusu aliyeshtakiwa hukuona maneno aliyosema yaliyompelekea kuwekwa kizuizini? hata kama asingekuwa kizuizini mbona bado wasingeshiriki uchaguzi kwasababu walishajipiga zuio wao wenyewe,sasa kuna shida gani mkisema ukweli?