ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Ukweli gani? Sasa mbona hakuna miundombinu aliyokamilisha badala yake waliokamilisha kwamkukopa wanasutwa?Wakati akiwa hai nilikuwa namuona John Pombe Magufuli pamoja na kutaka aonekane mzalendo, niliona kuwa ni mtu asiye na nia njema Kwa Taifa letu na mtaka sifa.
Lakini baada ya Polepole kuelezea mambo mengi yaliyokuwa yanafanyika nyuma ya pazia, sasa nimeanza kuelewa kuwa Magufuli alikuwa na dhamira njema kwa Tanzania.
Kumbe Magufuli baada ya kugundua fedha zinachotwa serikalini, yeye akaamua kuziwekeza kwenye miradi ili kama ni madeni ni bora watanzania walipe lakini wakiwa wana miundombinu inayowasaidia kuendesha maisha yao.
Zile hotuba zake kama anapambana na mara majeshi au watumishi wa Serikali, Leo zinaleta mantiki zaidi kuliko wakati akizitoa.
Magufuli alikuwa anajua yupo peke yake kwenye harakati za kuijenga Tanzania maana hata watu kama Makonda kumbe nao Wana vimelea vya CCM mtandao.
Ukweli utajulikana siku moja.
Sawa,vipi hoja zake nazo tuzipuuze?Atulize tu akili yake,awamu ya JPM ilishapita. Huwezi kuishi milele yote ukikumbushia siku zilizopita, zimeshapita watu wanaangalia leo na kesho.
Nimerufia video ya mazishi , walitambulishwa kama "wawakilishi wa vyama vya siasa" rostam alikua anawakilisha chama gani👀Picha inaongea mengiView attachment 3460459
Hoja zipi?. Mbona haongelei kupigwa risasi Lissu pale Dodoma?.Sawa,vipi hoja zake nazo tuzipuuze?
Kha🤔Ndiye huyo jamaa ana tamaa sana ya hela na madaraka, majangiri yalimpa offer ambayo hakuweza kuikataa ndiyo maana hadi leo yuko nao beneti.
Sasa hivi hakuna ukabila na ukanda?Shida yake kubwa ilikuwa ni ukabila na ukanda, pamoja na kushindwa kukubali kukosolewa