Ujinga mtupuAlichofanya Chalamila ndicho kinatakiwa kufanya na kila mwanaCCM mwenye uchungu na CCM , haiwezekani mtu mmoja ajione mkubwa kuliko Chama.
Wakiibuka wakina Chalamila kama watano Polepole atanyoosha mikono. Natamani kazi ya kumjibu Polepole ,hapo napiga shoka moja mbuyu Chini.
Polepole hatekeki au vipi mpaka Leo wanalumbana TU๐๐๐๐wakati kina Roma MKATOLIKI ilikuwa dakika sifuriPolepole amemuonya Chalamila kuwa hana mamlaka wala uwezo wa kujibu hoja zake. Yeye Polepole alikuwa mjumbe wa kamati kuu akiwa na majukumu maalum, anayejua mambo mengi.
Kaeleza kuwa Chalamila indirectly amemtukana Rais aliposema kuwa eti yeye Chalamila anaenda kufuata mafaili ya Polepole huko nje (means kwa wanamtandao). Polepole anasema kuwa maneno hayo ya Chalamila ni kumdharaulisha Rais kuwa taarifa muhimu za wateule wake hanazo bali wanazo watu wengine. Akaongeza kuwa yeye Polepole, taarifa zake zote, na mafaili yanayomhusu anayo Samia. Akaeleza kuwa yeye Polepole kwenye suala la uadilifu hana doa, na ndiyo maana ana uwezo wa kusimama na kukosoa bila ya kuwa na hofu. Yeye anamtegemea Mungu, na katika maisha yake binafsi ya kibinadamu, hana uchafu.
Amemwagiza Chalamila aisikilize clip yake juu ya maneno yake aliyoyasema, maneno yaliyomdharaulisha Samia, na hakika atajutia.
Uchungu wa kitu Gani๐๐๐ MAFISADI MMEANIKWA SASA MNA UCHUNGU EEEHAlichofanya Chalamila ndicho kinatakiwa kufanya na kila mwanaCCM mwenye uchungu na CCM , haiwezekani mtu mmoja ajione mkubwa kuliko Chama.
Wakiibuka wakina Chalamila kama watano Polepole atanyoosha mikono. Natamani kazi ya kumjibu Polepole ,hapo napiga shoka moja mbuyu Chini.
Kama unatumia Chalamila haweze kujibu akili kubwa kama za Polepole basi ccm yangu imeshiwa watu, ccm yenye kukimbilia kutisha watu na kuvua watu uanachama badala kujenga hoja kisa mipishano ya mitazamo.Alichofanya Chalamila ndicho kinatakiwa kufanya na kila mwanaCCM mwenye uchungu na CCM , haiwezekani mtu mmoja ajione mkubwa kuliko Chama.
Wakiibuka wakina Chalamila kama watano Polepole atanyoosha mikono. Natamani kazi ya kumjibu Polepole ,hapo napiga shoka moja mbuyu Chini.