Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Halafu chawa wenyewe ni duni mno!Mpaka sasa balozi polepole anakabia juu mno. Machawa wanaweweseka hawawezi kumjibu wana rukarua.
Nyie machawa wa lumumba.
Polepole ana data/ takwimu mjibuni kwa takwimu siyo viroja vya hoja !
Balozi amesema MAGUFULI alimalizwa na Wanamtandao wewe unatutajia mambo ya MELI sijui afya yaakili?
Polepole shikari hapohapo
Nashangaa RA hakurudia Tena kujibuπPolepole ni IQ Master
Ukikurupuka kumjibu unajikuta umeingia kwenye mtumbwi wa vibwengo.
Finally, jambo dogo linakuwa kubwa, mtu mzima unaadhirika mbele ya umati.
Thubutu!Nashangaa RA hakurudia Tena kujibuπ
.Hawezi kurudia, maana anajua safari hii nguo zitavuliwa mpaka kabati.Nashangaa RA hakurudia Tena kujibuπ
Mpirani tunasema alipewa Yellow,akijichanganya tena anapewa redπ€£π€£.Nashangaa RA hakurudia Tena kujibuπ
We Rostam weweeee...! Mungu anakuona!Hahahaha Data/takwimu zipi ambazo HP ameziweka kussuport tuhuma za anaowatuhumu mpaka sasa?
Mbona mimi naona anaongea tu yale ambayo mtu yeyote anaweza kuongea, tena mengine ni yale yanayojulikana na Kila mtu mtaani.
RA kuitwa fisadi hajaanza leo, aliitwa fisadi na kuwekwa kwenye list of shame pale mwembe Yanga na Dr Slaa.
ndani ya viunga vya Hodeidah Yemen.
We Rostam weweeee...! Mungu anakuona!
The Master of Our TimesMr slowslow
πππ.Hawezi kurudia, maana anajua safari hii nguo zitavuliwa mpaka kabati.
Noma snππMpirani tunasema alipewa Yellow,akijichanganya tena anapewa redπ€£π€£.
Imebidi akeep low.
Polepole ni IQ Master
Ukikurupuka kumjibu unajikuta umeingia kwenye mtumbwi wa vibwengo.
Finally, jambo dogo linakuwa kubwa, mtu mzima unaadhirika mbele ya umati.
Hivi kweli kuna kampeniKampeni zimegeuka futuhi. Bila kusomba watu kwa nguvu umati kama wa CHAUMA tu