Mpaka umekuja kumwanzishia uzi hapa manaake kawashika pabayaTuwe tu wakweli.
Polepole anatafuta tu kick.
Mnaotegemea CCM itatikisika kwa porojo za Polepole mnajidanganya.
Kwa CCM ,Polepole ni debe tupu,litapiga kelele ila usiku wake utafika litalala.
Ataibuka mwingine,mtampaparikia ila mwisho nae atanyamaza.
Yu wapi jasusi la mbinguni?
Mpina je?
Yu wapi @,britanica na tabiri zake za kitapeli.Mara July zis July zat?
Hamna lolote la maana zaidi MANENO MATUPU!!
Msipoteze muda na bando zenu kwa Polepole.Muda sio mrefu nae atachoka atanyamaza.Polepole hana tofauti na Lucas Mwashambwa.Wabwabwajaji!
CCM hatutishwi na maneno yenu kwani tushawazoea kwa kuchongoa midomo ila usiku lazima mlale.
Wakuitikisa CCM bado hajazaliwa.Endeleeni na maneno yenu sisi vyetu ni vitendo.HARAMBEE MMEIONA HAMJAIONA?!
CCM Hoiyeeeeee😃
Ni kweli na hii trend yake ya kila siku anaongea hamalizi ndio watu wanazidi kumzoea na kumpuuza, alitakiwa aende direct to massive destruction point sio leo kagusa hili kesho kagusa lile anapoelekea watu watamchukulia mkosoaji kama wakosoaji wengine ambao wameshazoeleka.Polepole hawezi kuitikisa CCM!
Kama Mrema na Lowassa walishindwa, Polepole atawezaje?
Polepole ni kiazi tuTuwe tu wakweli.
Polepole anatafuta tu kick.
Mnaotegemea CCM itatikisika kwa porojo za Polepole mnajidanganya.
Kwa CCM ,Polepole ni debe tupu,litapiga kelele ila usiku wake utafika litalala.
Ataibuka mwingine,mtampaparikia ila mwisho nae atanyamaza.
Yu wapi jasusi la mbinguni?
Mpina je?
Yu wapi @,britanica na tabiri zake za kitapeli.Mara July zis July zat?
Hamna lolote la maana zaidi MANENO MATUPU!!
Msipoteze muda na bando zenu kwa Polepole.Muda sio mrefu nae atachoka atanyamaza.Polepole hana tofauti na Lucas Mwashambwa.Wabwabwajaji!
CCM hatutishwi na maneno yenu kwani tushawazoea kwa kuchongoa midomo ila usiku lazima mlale.
Wakuitikisa CCM bado hajazaliwa.Endeleeni na maneno yenu sisi vyetu ni vitendo.HARAMBEE MMEIONA HAMJAIONA?!
CCM Hoiyeeeeee😃
Kama ana kera ni wewe na ccm kwa ujumla wenu!Tuwe tu wakweli.
Polepole anatafuta tu kick.
Mnaotegemea CCM itatikisika kwa porojo za Polepole mnajidanganya.
Kwa CCM ,Polepole ni debe tupu,litapiga kelele ila usiku wake utafika litalala.
Ataibuka mwingine,mtampaparikia ila mwisho nae atanyamaza.
Yu wapi jasusi la mbinguni?
Mpina je?
Yu wapi @,britanica na tabiri zake za kitapeli.Mara July zis July zat?
Hamna lolote la maana zaidi MANENO MATUPU!!
Msipoteze muda na bando zenu kwa Polepole.Muda sio mrefu nae atachoka atanyamaza.Polepole hana tofauti na Lucas Mwashambwa.Wabwabwajaji!
CCM hatutishwi na maneno yenu kwani tushawaz
CCM Hoiyeeeeee😃
Kile kichwa bapa hakina akiliTuwe tu wakweli.
Polepole anatafuta tu kick.
Mnaotegemea CCM itatikisika kwa porojo za Polepole mnajidanganya.
Kwa CCM ,Polepole ni debe tupu,litapiga kelele ila usiku wake utafika litalala.
Ataibuka mwingine,mtampaparikia ila mwisho nae atanyamaza.
Yu wapi jasusi la mbinguni?
Mpina je?
Yu wapi @,britanica na tabiri zake za kitapeli.Mara July zis July zat?
Hamna lolote la maana zaidi MANENO MATUPU!!
Msipoteze muda na bando zenu kwa Polepole.Muda sio mrefu nae atachoka atanyamaza.Polepole hana tofauti na Lucas Mwashambwa.Wabwabwajaji!
CCM hatutishwi na maneno yenu kwani tushawazoea kwa kuchongoa midomo ila usiku lazima mlale.
Wakuitikisa CCM bado hajazaliwa.Endeleeni na maneno yenu sisi vyetu ni vitendo.HARAMBEE MMEIONA HAMJAIONA?!
CCM Hoiyeeeeee😃
Dua za kuku hizo. Wakati wa Magu we ulikuwa hujazaliwa? Mkiambiwa nyie ni nyumbu yaani zero brain muwe mnaelewaAnacho ongea pole pole ni kwa maslahi ya Nchi, hamsingizii mtu uongo, Yote anayo ongea mengi kati yake tuliyahisi ila yeye kaya thibitisha.
Mengine watu walikua wakiyafahamu ila waliogopa kuongea.
Ndugu pole pole unafanya kazi mzuri, Watanzania wame ufahamu ukweli, inawezekana wakashindwa kuchukua hauta ila ukweli wame ufahamu.
Vilio vitakapo zidi katika Nchi, Mungu mwenyewe atachukua hatua na hakuna Mwanadamu atakaye zuia.
Kadri uovu unavyozidi katika Nchi ujue na maangamizi yana karibia.
Sasa kama hakuna anayeweza kuchukua hatua si ndio tunarud kwa ninachoongea kuwa anachoongea hakina msaada wowote.Si sawa tu na kujua una kansa ila huna la kufanya kuzuia kifo.?Anacho ongea pole pole ni kwa maslahi ya Nchi, hamsingizii mtu uongo, Yote anayo ongea mengi kati yake tuliyahisi ila yeye kaya thibitisha.