Polepole anakera, anaboa, anajivunjia heshima. Akae kimya sasa!

Polepole endelea na Operation chochea kuni mbichi - wahuni washaanza kutoka mipovu huku.
 
KUNA SIKU NIMEKUTA POST 6 ZA MTU MMOJA SLOWSLOW KHA..
 
Kwani hajagundua tu kuwa kelele za Chura hazimzui mchota maji kuchota maji!?
 
Wewe ni kati ya wale wanataka mafanikio ya haraka haraka, nakushauri tuifanyie assessment press za Polepole baada ya oktoba, hapo tutajua mbivu na mbichi.
 
Wewe ni kati ya wale wanataka mafanikio ya haraka haraka, nakushauri tuifanyie assessment press za Polepole baada ya oktoba, hapo tutajua mbivu na mbichi.
Hakuna asiyetaka mafanikio ya haraka ila Polepole hana mvuto.
NO REFORMS NO ELECTION
 
Polepole hawezi kuitikisa CCM!

Kama Mrema na Lowassa walishindwa, Polepole atawezaje?
Swala sio kuitikisa CCM na ajenda ya polepole wala sio kuitikisa CCM swala hapa ni wahuni na wezi na wakwepa kodi walio jificha CCM huku wakiitafuna nchi na kuiba mali za nchi kwa mgongo wa CCM msijifanye hamumuelewi POLEPOLE nyie kenge maji
 
Akae Kimya ?!!!; Nadhani ile dhana ya kutaka watu wakae kimya / wanyamaze ni mbaya inatisha kulisho hata hatari ya hao ambao wanaongea (hata kama ni pumba)... Kwahio hata kama ni Wapotoshaji ni either kuwapuuza au kuwapiga rungu la Hoja na kama ni Slander kwenda kwa Pilato....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…