Although nipo kinyume naye kwa wakati uliopo,lakini simuoni kama adui,wala mifumo isimguse tuwe naye tu,ana kitu fulani lakini huu tulionao siyo muda wake,angoje au apishe kwanza,tumuhifadhi, huku kwa muda uliopo tukimpuuza!,
Tuna machungu ya awamu ya tano,tuliumia sana,acha tupumzike japo kwa miaka kumi,ndipo mje na yenu!..../kumbukeni nyakati zile mlitubana kweli,tuliambiwa tuna washwa washwa!,tulikuwa yatima,huku wao wakila na kunywa na kututweza hadharani,polepole akiwa mmoja wao!
#MNAZO HOJA LAKINI KWA SASA TUPISHENI NA TULIENI.....