#COVID19 Polepole, Bashiru na Musukuma mtachanja?

Gwajima

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2018
Posts
253
Reaction score
406
Kwanza niwashukuru kwamchango wenu mkubwa katika awamu iliyopita katika kutokomeza kabisa Corona, Ilifika mahali Corona ilikosa kiki Tanzania, mpaka wazungu wakaanza kuja kushangaa ni mbinu gani ilitumika.

Tangu hiki kinachoitwa wimbi la tatu kuanza kuhubiriwa, naona mmekua kimya sana, Watanzania wanahitaji kusikia sauti zenu zenye mamlaka zikinena kuhusu hii chanjo ambayo tuliikataa tangu awamu ya 5.

Najua ni hiyari, lakini nivema tukajua mtaitumia hiari yenu kuchanja au kuto chanja?

Nawatakia Ijumaa njema na maandalizi mema ya Sabato kwa ndugu zangu Wasabato.
 
Mbuzi Mweuzi atafutwe kabla ya Kiza kuingia!
 
Tangu hiki kinachoitwa wimbi la tatu kuanza kuhubiriwa, naona mmekua kimya sana, Watanzania wanahitaji kusikia sauti zenu zenye mamlaka zikinena kuhusu hii chanjo ambayo tuliikataa tangu awamu ya 5.
Slowslow atachanja ni grasshopper
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Gwajima hujambo Mtumishi wa Mungu.
 
Mimi naamini Tourism industry ya hapa Nchini itaanza kusema kama hujachanjwa hakuna Ajira hakuna Mtalii atakubali kuhudumiwa na Mtu ambae hajachanjwa.
 
Huyu ndie Gwaji mwenyewe,au Gwaji jina.
 
Tumepewa bure 1m kelele nyingi me zinatosha nana hiyo bure 1m ili vije covd Delta na tununue zaidi ya 120mil chanjo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…