Kwanza niwashukuru kwamchango wenu mkubwa katika awamu iliyopita katika kutokomeza kabisa Corona, Ilifika mahali Corona ilikosa kiki Tanzania, mpaka wazungu wakaanza kuja kushangaa ni mbinu gani ilitumika.
Tangu hiki kinachoitwa wimbi la tatu kuanza kuhubiriwa, naona mmekua kimya sana, Watanzania wanahitaji kusikia sauti zenu zenye mamlaka zikinena kuhusu hii chanjo ambayo tuliikataa tangu awamu ya 5.
Najua ni hiyari, lakini nivema tukajua mtaitumia hiari yenu kuchanja au kuto chanja?
Nawatakia Ijumaa njema na maandalizi mema ya Sabato kwa ndugu zangu Wasabato.
Aisee.Itaanza kwa hiyari. Baada ya wiki chache itakuwa lazima.
View attachment 1874144
View attachment 1874145
Kwanza niwashukuru kwamchango wenu mkubwa katika awamu iliyopita katika kutokomeza kabisa Corona, Ilifika mahali Corona ilikosa kiki Tanzania, mpaka wazungu wakaanza kuja kushangaa ni mbinu gani ilitumika.
Tangu hiki kinachoitwa wimbi la tatu kuanza kuhubiriwa, naona mmekua kimya sana, Watanzania wanahitaji kusikia sauti zenu zenye mamlaka zikinena kuhusu hii chanjo ambayo tuliikataa tangu awamu ya 5.
Najua ni hiyari, lakini nivema tukajua mtaitumia hiari yenu kuchanja au kuto chanja?
Nawatakia Ijumaa njema na maandalizi mema ya Sabato kwa ndugu zangu Wasabato.
Msukuma ni rais wa Geita, anashinda akiwa chama chochoteKwanza niwashukuru kwamchango wenu mkubwa katika awamu iliyopita katika kutokomeza kabisa Corona, Ilifika mahali Corona ilikosa kiki Tanzania, mpaka wazungu wakaanza kuja kushangaa ni mbinu gani ilitumika.