Agosti 13, 2025 wakati Humphrey Polepole akiendelea na mazungumzo yake kupitia mitandao ya kijamii ameeleza kuwa CCM inakaribia kutekwa na Wanamtandao na watu wanajua ingawa wanawaogopa ila yeye hawaogopi.
"Huku sisi tunakaribia kutekwa na kundi la wanamtandao mtu yeyete aliyekuwepo toka zamani anajua hizi issue. Sema watu wanawaogopa umenielewa eeh? kwa sababu hawa jamaa wana mbinu nyingi ndiyo maana watu wanawaogopa. Mimi siwaogopi hamna nafasi kwenye chama cha mapinduzi untill it's done" - Humphrey Polepole
View attachment 3440777
Kwahiyo ni vita mbili tofauti? mkuuYeye lengo lake wana mitandao wa Ccm, lenho letu ni kuondoa hiyo ccm na mizizi yake.
Polepole alikuwa na nafasi ya kumueleza JPM (Rip) adui yake halisi ni hao 'wanamtandao' na sio Tundu Lissu na Chadema kama alivyoamini hata akaishia kuwatesa na kuwakandamiza, hili Polepole hajaonyesha kulijutia.Agosti 13, 2025 wakati Humphrey Polepole akiendelea na mazungumzo yake kupitia mitandao ya kijamii ameeleza kuwa CCM inakaribia kutekwa na Wanamtandao na watu wanajua ingawa wanawaogopa ila yeye hawaogopi.
"Huku sisi tunakaribia kutekwa na kundi la wanamtandao mtu yeyete aliyekuwepo toka zamani anajua hizi issue. Sema watu wanawaogopa umenielewa eeh? kwa sababu hawa jamaa wana mbinu nyingi ndiyo maana watu wanawaogopa. Mimi siwaogopi hamna nafasi kwenye chama cha mapinduzi untill it's done" - Humphrey Polepole
View attachment 3440777
Kwahiyo ni vita mbili tofauti? mkuu
Samia na genge lake wanawadharau sana watanganyika, kitendo cha yule Seth kuonekana hadharani vile kwamba anashiriki kuifadhili ccm iendelee kubaki madarakani ilikuwa ni sababu tosha kabisa ya kuiondoa serikali iliyopo, maana imeonesha wazi kuwa inaongozwa na majizi pamoja na wahujumu uchumi.Maneno matupu hayavunji mfupa
Alipaswa kutuambia after hayo maneno yake ana strategy plan ipi ya kuwazuia hao Wana mtandao
For now everyone knows ccm imeshikwa sana na kundi la wapiga deal Mabwanyenye na sio hivyo tu kundi Hilo Lina wadharau Watanzania sana kitendo Cha mtu kama Seth ambaye ana kashfa kibao za Upigaji kuonekana katika Hafla za ccm Inaonyesha wazi kwamba serikali imewadharau Wananchi wake na Wala haijali kabisa kuhusu maisha Yao na lawama zao so yote hayo tunayajua
So pole pole anapaswa kutuambia what he's planning to do ili kuua Hilo kundi la Wana mtandao au Amechagua kuishia kuwa mpiga zumari tu,
Hizo mbinu za Upigaji zumari zimeshatumika sana Na kina Lissu and the likes but it won't help
Mzee KabulInakaribia au ilishatekwa toka zamani!
Ina maana HP pamoja na kukaa kwake CCM hajuia mpaka leo wamiliki wa CCM?
ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan.
Hizo bilioni za wahuni zitawatokea puani. Yetu machoAgosti 13, 2025 wakati Humphrey Polepole akiendelea na mazungumzo yake kupitia mitandao ya kijamii ameeleza kuwa CCM inakaribia kutekwa na Wanamtandao na watu wanajua ingawa wanawaogopa ila yeye hawaogopi.
"Huku sisi tunakaribia kutekwa na kundi la wanamtandao mtu yeyete aliyekuwepo toka zamani anajua hizi issue. Sema watu wanawaogopa umenielewa eeh? kwa sababu hawa jamaa wana mbinu nyingi ndiyo maana watu wanawaogopa. Mimi siwaogopi hamna nafasi kwenye chama cha mapinduzi untill it's done" - Humphrey Polepole
View attachment 3440777
Tafadhali niunganisheBado.
Tuamini tu mipango ya MunguHilo kundi kama JPM angelijua kiundana angekuwa hai mpaka leo.