Polepole kasema nyuma yake wapo kina Mzee Warioba

Sio udini ila ni ukwel mtupu kabsa jakaya alihalibu Tanzania kwa uongozi wake na kufanya ccm kuonekana chama cha mafisadi lkn ukawa 2015 wangechukua uongozi kabsa wa Tanzania,ujinga waliofanya ni kumchukua lowasa ambaye naye alikuwa fisadi kutoka ccm....ccm walipoona chama kimehalibika wakabidi wamchague mtu ambaye anaaminika kwa kufanya kazi na ajibebe yeye mwenyew kwa sifa zake.ambaye ni magufuli.
 
Ikawaje JK akawa anashangaliwa kila alipokuwa anaonekana katikati ya utawala wa JPM? Baada ya kuchoma moto wale vifaranga hali ya JPM ilivurugika kabisa. Binafsi mm namsifu JPM kwa kupenda kuthubutu, lakini shida yake alikuwa anathubutu blindly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…