Ujinga mzigo. Zamu hii mtataga mafii..!!!Katika hali ya kushangaz dada wa Pius mpweza aliekuwa msaidizi wa polepole ameibuka nakudai kaka yake haonekani. Wamemtafuta bila mafanikio yoyote, akitoa taarifa kutoka kwao kigamboni suzan kadai Pius aliaga anakwenda kazini lakini hakufika nyumbani wakati wa kurudi. Badae ,wafanya kazi wenzake nao walianza kumtafuta baada ya kutoonekana kazini lakini hakupatikana hata kwa njia za mawasiliano na juhudi kubwa imefanywa bila mafanikio.
Ikumbukwe siku za nyuma Pius aliekuwa msaidizi wa Humphrey polepole aliibuka na kudai polepole alikuwa akifanya zinaa na wanawake tofautitofauti na anapaswa kuwaomba msamaha wanawake hao kwani kawachezea sana, ilo lilikua ni Moja ya mambo alio kuwa anayasema kuhusu polepole na mambo mabaya yake ya siri.
Anadai BAADA ya hayo alianza kupokea vitusho kutoka kwa polepole kwa kupigiwa simu na kutumiwa jumbe kwamba ata potezwa asipo acha kumfatilia, lakini Pius hakuacha, pia alirekodi vitisho vyote nakuwaonesha wafanyakazi wenzake na ndugu na vimehifadhiwa hivo polepole asipo toa maelezo juu ya ndugu yao alipo wataweka wazi na wametoa masaa 24 tu polepole ajitokeze kufafanua kuhusu ndugu yao lasivyo hatua za kisheria zitafat.
Je huu ni michezo wa kumtia ndege tunduni ili iwe nafuu kumtafuta kwa udi na uvumba na kumshika bwana Humphrey polepole kama muuwaji au mtekaji?
Tusubiri muda waliotoa ndugu uishe tuone watafanya nini? Vyanzo le mutuz tv, bingo media
Nipen Deal of million dollars, kwishaaaaa
KWAHIYO UKIFANYA ZINAA NA MWANAMKE UNAOMBA MSAMAHA?Katika hali ya kushangaz dada wa Pius mpweza aliekuwa msaidizi wa polepole ameibuka nakudai kaka yake haonekani. Wamemtafuta bila mafanikio yoyote, akitoa taarifa kutoka kwao kigamboni suzan kadai Pius aliaga anakwenda kazini lakini hakufika nyumbani wakati wa kurudi. Badae ,wafanya kazi wenzake nao walianza kumtafuta baada ya kutoonekana kazini lakini hakupatikana hata kwa njia za mawasiliano na juhudi kubwa imefanywa bila mafanikio.
Ikumbukwe siku za nyuma Pius aliekuwa msaidizi wa Humphrey polepole aliibuka na kudai polepole alikuwa akifanya zinaa na wanawake tofautitofauti na anapaswa kuwaomba msamaha wanawake hao kwani kawachezea sana, ilo lilikua ni Moja ya mambo alio kuwa anayasema kuhusu polepole na mambo mabaya yake ya siri.
Anadai BAADA ya hayo alianza kupokea vitusho kutoka kwa polepole kwa kupigiwa simu na kutumiwa jumbe kwamba ata potezwa asipo acha kumfatilia, lakini Pius hakuacha, pia alirekodi vitisho vyote nakuwaonesha wafanyakazi wenzake na ndugu na vimehifadhiwa hivo polepole asipo toa maelezo juu ya ndugu yao alipo wataweka wazi na wametoa masaa 24 tu polepole ajitokeze kufafanua kuhusu ndugu yao lasivyo hatua za kisheria zitafat.
Je huu ni michezo wa kumtia ndege tunduni ili iwe nafuu kumtafuta kwa udi na uvumba na kumshika bwana Humphrey polepole kama muuwaji au mtekaji?
Tusubiri muda waliotoa ndugu uishe tuone watafanya nini? Vyanzo le mutuz tv, bingo media
Nipen Deal of million dollars, kwishaaaaa
Halafu anayelalamika au kudai huo msamaha, si mwanamke aliyefanya naye zinaa, bali mwanaume ambaye hata hakuwepo eneo la tukio..!!! Ushoga is real..!!KWAHIYO UKIFANYA ZINAA NA MWANAMKE UNAOMBA MSAMAHA?
HAYA NI MAMBO YA KIJINGA.
Kaka ye KADAI polepole ni kioo cha jamii hakupaswa kufanya hayo, kutumika mamlaka vibaya je dada yako naye ange pituwa ungesema hivi?KWAHIYO UKIFANYA ZINAA NA MWANAMKE UNAOMBA MSAMAHA?
HAYA NI MAMBO YA KIJINGA.
THIS IS RUBBISH FROM THE VERY OPPRESSORS OF THIS TAIFAKatika hali ya kushangaz dada wa Pius mpweza aliekuwa msaidizi wa polepole ameibuka nakudai kaka yake haonekani. Wamemtafuta bila mafanikio yoyote, akitoa taarifa kutoka kwao kigamboni suzan kadai Pius aliaga anakwenda kazini lakini hakufika nyumbani wakati wa kurudi. Badae ,wafanya kazi wenzake nao walianza kumtafuta baada ya kutoonekana kazini lakini hakupatikana hata kwa njia za mawasiliano na juhudi kubwa imefanywa bila mafanikio.
Ikumbukwe siku za nyuma Pius aliekuwa msaidizi wa Humphrey polepole aliibuka na kudai polepole alikuwa akifanya zinaa na wanawake tofautitofauti na anapaswa kuwaomba msamaha wanawake hao kwani kawachezea sana, ilo lilikua ni Moja ya mambo alio kuwa anayasema kuhusu polepole na mambo mabaya yake ya siri.
Anadai BAADA ya hayo alianza kupokea vitusho kutoka kwa polepole kwa kupigiwa simu na kutumiwa jumbe kwamba ata potezwa asipo acha kumfatilia, lakini Pius hakuacha, pia alirekodi vitisho vyote nakuwaonesha wafanyakazi wenzake na ndugu na vimehifadhiwa hivo polepole asipo toa maelezo juu ya ndugu yao alipo wataweka wazi na wametoa masaa 24 tu polepole ajitokeze kufafanua kuhusu ndugu yao lasivyo hatua za kisheria zitafat.
Je huu ni michezo wa kumtia ndege tunduni ili iwe nafuu kumtafuta kwa udi na uvumba na kumshika bwana Humphrey polepole kama muuwaji au mtekaji?
Tusubiri muda waliotoa ndugu uishe tuone watafanya nini? Vyanzo le mutuz tv, bingo media
Nipen Deal of million dollars, kwishaaaaa
Kwani hao waliodaiwa kufanya zinaa na Polepole:Kaka ye KADAI polepole ni kioo cha jamii hakupaswa kufanya hayo, kutumika mamlaka vibaya je dada yako naye ange pituwa ungesema hivi?
Nipen deal of million dollars, kwishaaa
Hamna ilikua tu kumtoa nyoka pangoni, kibaya polepole akajaa akaanza tuma vitisho ikiwemo kumpoteza bwana Pius na ushahidi wanao na ulionyeshwa kwa familia na wafanyakazi wenzakeKwani hao waliodaiwa kufanya zinaa na Polepole:
1. walibakwa au walikubaliana wakabanduane???
2. Kuna mahali wamelalamika au wameshitaki?? Au wameshitaki kwa Pius??
3. Yeye anayewasemea hao wanawake, wamemtuma??
KabisaBongo ndio hii mkuu kila mtu mjuaji, na kila mtu anaweza ita press na waandishi akasema yake hata ka pumba
Nipen deal of million dollars, kwishaaa
Haya ndo madhara ya kutumika na oppressors. Wanaweza kukutumia hata maiti yako.Katika hali ya kushangaz dada wa Pius mpweza aliekuwa msaidizi wa polepole ameibuka nakudai kaka yake haonekani. Wamemtafuta bila mafanikio yoyote, akitoa taarifa kutoka kwao kigamboni suzan kadai Pius aliaga anakwenda kazini lakini hakufika nyumbani wakati wa kurudi. Badae ,wafanya kazi wenzake nao walianza kumtafuta baada ya kutoonekana kazini lakini hakupatikana hata kwa njia za mawasiliano na juhudi kubwa imefanywa bila mafanikio.
Ikumbukwe siku za nyuma Pius aliekuwa msaidizi wa Humphrey polepole aliibuka na kudai polepole alikuwa akifanya zinaa na wanawake tofautitofauti na anapaswa kuwaomba msamaha wanawake hao kwani kawachezea sana, ilo lilikua ni Moja ya mambo alio kuwa anayasema kuhusu polepole na mambo mabaya yake ya siri.
Anadai BAADA ya hayo alianza kupokea vitusho kutoka kwa polepole kwa kupigiwa simu na kutumiwa jumbe kwamba ata potezwa asipo acha kumfatilia, lakini Pius hakuacha, pia alirekodi vitisho vyote nakuwaonesha wafanyakazi wenzake na ndugu na vimehifadhiwa hivo polepole asipo toa maelezo juu ya ndugu yao alipo wataweka wazi na wametoa masaa 24 tu polepole ajitokeze kufafanua kuhusu ndugu yao lasivyo hatua za kisheria zitafat.
Je huu ni michezo wa kumtia ndege tunduni ili iwe nafuu kumtafuta kwa udi na uvumba na kumshika bwana Humphrey polepole kama muuwaji au mtekaji?
Tusubiri muda waliotoa ndugu uishe tuone watafanya nini? Vyanzo le mutuz tv, bingo media
Nipen Deal of million dollars, kwishaaaaa
Sasa mtu una ushahidi, why usiende kushitaki??? Na hivi wanavyomtafuta, si ndo tayari atakuwa kapatikana?Hamna ilikua tu kumtoa nyoka pangoni, kibaya polepole akajaa akaanza tuma vitisho ikiwemo kumpoteza bwana Pius na ushahidi wanao na ulionyeshwa kwa familia na wafanyakazi wenzake
Nipen deal of million dollars, kwishaaa